Waasi wa M23/AFC walalamika Tanzania kumkamata kiongozi wao aitwae Eric Nkuba na kumkabidhi kwa Serikali ya DRC

Kabila mzee alipopewa support ya kuingia ikulu na Rwanda aliingia mikataba mibovu ya siri na PK hasa remera treaty, ambayo ilimtaka akiingia madarakani tu amege mashariki ya congo kwenye utajiri iwe sehemu ya Rwanda, alipofika ikulu na kugoma kumega nchi yake ndio moto ukawa mkubwa kwani pk akaona katapeliwa haraka sana akakipa kikundi cha m23 nguvu na hadi sasa lile ni jeshi kamili ndio maana unaona wana vifaa vya kisasa kabisa, fedha na wanajitanua sehemu ambazo Zina utajiri mkubwa wa madini ili waibe vizuri, m23= kigali na kampala ndio maana muhoozi wakati jeshi la kenya lilipotangaza kwenda kuwafurusha m23 alisema wazi wale ni ndugu zao atawatetea Kwa nguvu zote na kuitukana ikulu ya nairob wazi kabisa sasa sababu kenya watu wa dili walipofika tu huko wakapenyezewa utamu wa madini ghafla wakabadili msimamo, na Kwa sasa wakarudi kwao,
Unokingea hapo ni sahihi, ila jaribu kupitia tena upate madini zaidi..

Kuna historia ya Kabila na kadogos (Child solders) ambao ndo walimsaidia kuingia Kinshasa. Kamanda wa hawa Kadogos aliitwa Nindaga na heshima ya hawa Kadogos kwake ndo ilikuwa ni hofu kwa Kabila snr.

Hawa kadogos walikuja kuchukizwa vibaya sana waliposikia kuwa Kabila snr amekutana na PK kwa mazungumzo (ambayo ndo unoyaongelea).

Tafuta filamu iitayo "Murder in Kinshasa" ilotayarishwa na waandishi wawili wa habari za kiuchunguzi wa Al-Jazeera wanoitwa Arnaud Zajitman na Marlene Rabaud.

Hawa waeleza uzuri kile khasa kilotokea ambapo si kweli kwamba ni kadogos ndo walohusika bali ni M23 chini ya maelekezo ya Kigali lakini chini ya uangalizi wa Marekani.
 
Mambo ya Wa-Congoman yapaswa yaachwe kwa Wa-Congoman wenyewe, watashughulika nayo na watayamaliza wao wenyewe. Isitoshe, hayo maeneo yenye Waasi huko Congo DRC(Zaire)i hayapo ndani ya mipaka ya nchi ya Tanzania. Tusipende 'kuununua ugomvi' usiotuhusu.
Hakuna Mtanzania mwenye mawazo ya kijinga kama hayo. Wewe ni Mnyarwanda tu
 
Felix ni Rais mzalendo sana Kwa nchi yake, ni mkongoman aliyeingia miguu yote kutetea nchi yake, toka misimamo ya marehemu Baba yake ambapo alikua akimpinga mobutu , ndio aliyoingia nayo, hao banyamulenge ni wanyarwanda na ni watutsi wenye haki zote nchini Rwanda sawa na walivo watutsi wa kahama, geita, karagwe hao wakirudi kwao hata kura hupiga pamoja na kua watanzania,
Tshekedi ni mzalendo sana kwa nchi yake na ndio maana watutsi wanalalamika sana tofauti na kipindi cha utawala wa joseph kabila.
 
Back
Top Bottom