Ndio
Surel, habari za kimataifa unasikia za ulaya na marekani tu..waandishi wetu wa habari sidhani kama wanafuatilia mambo yanayohusu jumuiya.
..kwenye vyombo vyetu vikubwa vya habari kulipaswa kuwa na dawati maalum la kufuatilia kinachoendelea ktk nchi za EAC, na SADC.
..kwa mfano, Tanzania tuna askari wako Msumbiji, na DRC, lakini waandishi wetu hawajishughulishi kujua hali ya amani ktk nchi hizo ikoje, na kuuhabarisha umma.
..Watanzania wangejua kinachoendelea Msumbiji, na DRC, wangeweza kuwa katika nafasi nzuri kuridhia vijana wetu waendelee kuwa huko, au la.
Surel, habari za kimataifa unasikia za ulaya na marekani tu
Tanzania ina kikosi Msumbiji? Nana Kagame na Tshisekedi hawajahudhuria