Waandishi wa nyimbo za maua Sama mturudishie msanii wetu pendwa

My Honest Book

JF-Expert Member
Jul 7, 2015
1,363
2,157
Naongea kama mmoja wa mashabiki na wapenz wa mziki wa Maua Sama ninaoamini kabsa Maua ndo msanii mwny kipaji zaid kuliko wengine Afrika Mashariki(hii ni pamoja na nchi zilizojiunga juzi kati),na katika hilo sihitaji hata nguvu yoyote kulitetea mana kwa wengi wanaoujua mziki mzuri na melody tamu watakubaliana na mm Maua tops the chart ya the most talented artist!!!
Haya nirejee kwny mada yangu cos imetokana na mshtuko niliopata baada ya kusikia wimbo wake mpya alotoa na Nay wa Mitego,man that's not her class,Maua so wakutoa wimbo afu ikawa kama hamna kilichokotea vile yaani.
Nahisi waandishi wake wa nyimbo sijui wameishiwa madini ama vip i believe Maua deserves the spotlight kwny mainstream za Afrika Mashariki na Kati kwa ukubwa alofikia .
Management impeleke Maua nje ya mipaka tupate features kali za akina Tiwa Savage,Tems nk

Na hapa kazi kubwa inabid ifanyike na waandishi wake zitoke nyimbo nzuri ziendane na ukubwa wa project

Maua sio msanii wa kukaa kimya muda wote afu aje na project na Nay wa Mitego, Management ya Maua Sama needs to do better 💯
 
Si aumize kichwa na yeye atunge.....Kama hata zai katungiwa ni bora akawe muitikiaji wa bendi.
 
Tatizo wasanii wabongo hawa wathamini waandishi wa nyimbo, wana wadhulumu na kuwadharau. Ndio maana Mario sasa hivi anaimba mwenyewe,Barnaba kawaandikia ww kaishiwa kusifiwa, yule Goodluck kawandikia akina Moo music na Baraka da prince wakamletea dharau.
 
Siku hizi atleast wanasema zamani hata kusema walikuwa hawasemi. Sema wanaishia kusema ila waandishi hawapati wanachostahili.
 
Back
Top Bottom