kuduman201036
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 4,058
- 2,173
wacha tujidode pasaka itajijua bwana
Neno kuntuHatutegemei mshahara peke yake kuendesha maisha Mkuu.
Acha kututamanisha bado tarehe bwana mzee .Salary imetoka wakuu
Acha kututamanisha bado tarehe bwana mzee .Salary imetoka wakuu
Chanzo cha taalifa hii rafadhari nami nijilizisheNapenda kukukumbusha mshahara utakaotoka mwezi huu ndio huo huo utakaotumika hadi pasaka.ahsante...!
Iwapo ulishakumbushwa kuhusu hili basi kuwa makini,Usijelaumu serikali.
Ungenistua 22/3/2017,mimi hela imeshakata,ngoja nikakope platinumNapenda kukukumbusha mshahara utakaotoka mwezi huu ndio huo huo utakaotumika hadi pasaka.ahsante...!
Iwapo ulishakumbushwa kuhusu hili basi kuwa makini,Usijelaumu serikali.
Hahah...leo Ni 25/3/2017 ujue ndg utaua familia!!Ungenistua 22/3/2017,mimi hela imeshakata,ngoja nikakope platinum
Jipange..!Fake news!