Lumelondingu
Senior Member
- Nov 27, 2014
- 128
- 65
kama ndio hivyo atafunga vingi maana wenye PhD wamelowea bungeni wanakula upepo tuu wameachana na chaki akiwemo na yeye mwenyewe
Kwa uandishi huu, vifungwe tu. Master ndo nini?Kwa vigezo hivyo vitafungwa vyuo vingi sana. Pale MUHAS mwalimu ana master ana msupervise master student.. only in Tz
Vyuo hivyo hivyo vina mamlaka ya kutoa hizo PhD. Hivyo atakuta wameshajipatia hizo PhD backdated kukidhi vigezo!Hili la Phd nafikiri halitekelezeki
hata kwa vyuo vikuu vya serikali.
Huyu mama hana jipya..!! Visasi tu vimemjaaaSerikali ina mpango wa kukagua vyuo vikuu vyote nchi na vile ambavyo vitakuwa havina sifa serikali itavifunga bila kusita kwani haitaki watanzania wafanyiwe majaribio katika elimu.
Taarifa hiyo imetolewa na waziri wa Elimu,Prof.Ndalichako ambae amesema vyuo vingi havina sifa licha ya vyuo hivyo kupewa ithibati.
Prof.Ndalichako amesema inatakiwa angalau asilimia 50 ya walimu katika kila chuko kikuu kimoja wawe na shahada ya uzamivu(Ph.D) na kwamba haitakiwi mwalimu mwenye shahada ya kwanza kufundisha wanafunzi wa shahada ya kwanza.
Prof.ameongeza kuwa,uwepo wa vyuo vingi visivyo na sifa kunapelekea uwepo wa vijana wengi wasio na ajira mitaani na hivyo kuongeza hasira.
Chanzo:Nipashe
Prof.kaeleza mengi ambayo ninahakika yakifanyiwa kazi,vyuo vingi vitafungwa na itakuwa majanga makubwa.
Wacha ujuaji nilichokiandika umekifahamu. kama huna hoja kaa pembeniKwa uandishi huu, vifungwe tu. Master ndo nini?
vifutwe tu maana hakuna namna nyingine....tumechoka na vyo vya kikanjanja.Serikali ina mpango wa kukagua vyuo vikuu vyote nchini na vile ambavyo vitakuwa havina sifa itavifunga bila kusita kwani haitaki watanzania wafanyiwe majaribio katika elimu.
Taarifa hiyo imetolewa na waziri wa Elimu,Prof. Ndalichako ambaye amesema vyuo vingi havina sifa licha ya vyuo hivyo kupewa ithibati.
Prof. Ndalichako amesema inatakiwa angalau asilimia 50 ya walimu katika kila chuko kikuu kimoja wawe na shahada ya uzamivu(Ph.D) na kwamba haitakiwi mwalimu mwenye shahada ya kwanza kufundisha wanafunzi wa shahada ya kwanza.
Prof. ameongeza kuwa uwepo wa vyuo vingi visivyo na sifa kunapelekea uwepo wa vijana wengi wasio na ajira mitaani na hivyo kuongeza hasira.
Chanzo: Nipashe
Prof. Kaeleza mengi ambayo ninahakika yakifanyiwa kazi,vyuo vingi vitafungwa na itakuwa majanga makubwa.
St.joseph college of engineering and technologySi useme SAUT.
St John's University of Tanzania.... Jiandaeni kisaikolojia.Kuna chuo kimoja cha prvt, kina matawi mikoa mingi, walimu wake nao ni tatizo,
Kazi ipo!St John's University of Tanzania.... Jiandaeni kisaikolojia.
mkuu hujafundisha tafsida nini huko shuleni kwenu?Si useme SAUT.
Funguka umsaidie Ndalichako.Kuna chuo kimoja cha prvt, kina matawi mikoa mingi, walimu wake nao ni tatizo,