NetMaster
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,454
- 4,925
NB: Haihusishi walemavu ambao inabidi wavitumie vyoo vya kukalia.
Kiukweli linapokuja suala la kwenda haja, choo cha kuchuchumaa ni kizuri zadi kuliko cha kukaa..
1. mkao wa Mchuchuma ndio pozi la asili kwajili ya kutoa haja kwa ufanisi wa hali ya juu, njia ya haja linafunguka zaidi pale tunapochuchumaa, na hii ndio sababu kuu ya kwenda haja kwa kuchuchumaa.
2. kuchuchumaa ni zoezi ambalo ni zuri kiafya kulifanya mara moja moja si mbaya kwajili ya nguvu za magoti, kunyoosha mgongo, n.k.
3. Choo cha kukaa, kinyesi huwa kinatua moja kwa moja kwenye tundu lenye maji, kero hapa ni pale kinyesi kikiwa kizito au kikubwa kikitua yale maji huwa yanaruka na kumfikia mtumiaji kwenye sehemu za kutoa haja, hii ni hatari kiafya.
4 choo cha kukalia ni vema ukitumie mwenyewe ama wawili mke na mme kwa kuzingatia usafi na afya, si vizuri kitumike na wengi kwasababu zifuatazo:
5. Choo cha kuchuchumaa unaweza kujisafisha kirahisi kuliko choo cha kukaa.

- mtu akikaa kuna ule mgusano wa mapaja na choo unaweza kupelekea magonjwa ya ngozi,
- mtu anapokaa anaweza kuliacha jasho lake sehemu ya kukaa,
- mtumiaji akikojoa huwa kuna matone ya mikojo yanaweza kudondokea sehemu ya kukaa,