Vyombo vya habari vya watuhumiwa wa mihadarati na watetezi wao visifanye kazi hadi kesi ziishe

Mamlaka husika ya mawasiliano ipo na inafanya kazi yake,kama vyombo hivyo havivunji taratibu za uwazishwaji kwa misingi ya mamlaka husika kwanini vifungiwe?

Vikifungwa kutokana hisia tu za mtu binafsi kama wewe,je itawezeka kufidia faida ambayo wangeipata kwa kipindi chote cha kufungwa na kufidia kuwalipa wafanyakazi kwa hicho kipindi baada ya kufungwa kutokana na hisia binafsi na si kukiuka taratibu za mamlaka husika
 
Vyombo hivi kuendelea kufanyakazi huku watuhumiwa wakiwa bado hawajamalizana na kesi zao ni kosa kwa sababu vitaweza kuathiri mienendo ya kesi hizi.
Naongelea:
1. Free Media ya Freeman Mbowe
2. Habari Coorporation ya Manji
3. Magazeti yote yanayomilikiwa na Jenerali Ulimwengu anayemtetea Freeman Mbowe Mahakamani
4. Redio EFM
Na vingine kama hivyo.
Safi sana. Haya Ndiyo mawazo ya Watanzania watakaochochea mageuzi ya viwanda!
 
Vyombo hivi kuendelea kufanyakazi huku watuhumiwa wakiwa bado hawajamalizana na kesi zao ni kosa kwa sababu vitaweza kuathiri mienendo ya kesi hizi.
Naongelea:
1. Free Media ya Freeman Mbowe
2. Habari Coorporation ya Manji
3. Magazeti yote yanayomilikiwa na Jenerali Ulimwengu anayemtetea Freeman Mbowe Mahakamani
4. Redio EFM
Na vingine kama hivyo.
daf1c8411c35780184b7702648b76e41.jpg
 
Vyombo hivi kuendelea kufanyakazi huku watuhumiwa wakiwa bado hawajamalizana na kesi zao ni kosa kwa sababu vitaweza kuathiri mienendo ya kesi hizi.
Naongelea:
1. Free Media ya Freeman Mbowe
2. Habari Coorporation ya Manji
3. Magazeti yote yanayomilikiwa na Jenerali Ulimwengu anayemtetea Freeman Mbowe Mahakamani
4. Redio EFM
Na vingine kama hivyo.

kilichoandikwa hapa ni matokeo ya BANGI MSOKOTO
 
Vyombo hivi kuendelea kufanyakazi huku watuhumiwa wakiwa bado hawajamalizana na kesi zao ni kosa kwa sababu vitaweza kuathiri mienendo ya kesi hizi.
Naongelea:
1. Free Media ya Freeman Mbowe
2. Habari Coorporation ya Manji
3. Magazeti yote yanayomilikiwa na Jenerali Ulimwengu anayemtetea Freeman Mbowe Mahakamani
4. Redio EFM
Na vingine kama hivyo.

Gazeti la Uhuru
Mzalendo
 
sasa mwenendo wa kesi sasa ivi si inaenda kulingana na watawala wanataka nini kwa uyo mtu , sizani hata kama vikiandika kutakuwa na influence yoyote endapo watawala wanataka mtu uyo awe jela au asiwe jela, mahakama na polisi ni mali ya serikali na chama tawala kwaiyo ukiwa sio chama tawala au ueleweki wewe kama uanachama wako tambua kupata haki yako ndani ya mahakama ni kidogo sana au hakuna.
 
Back
Top Bottom