Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,037
- 4,752
It's fine tumeamua kuachana na mijadala inayohusu mstakabali wa maisha yetu tumajikiti kwenye starehe. Vyombo vya habari vimeacha kufanya utafiti na kuja na mada zakuisaidia serikali kufanya maboresho tumeamua kuwa wana michezo.
Tumeamua kuacha kabisa matumizi mabaya ya muda kwenye house media tumeamua kuwa na vyombo vya habari vinavyojadili KUADIMIKA KWA UTUMBO WA KITABU NCHINI.
Ni kweli tumeamua kutojadili mambo serious tumehamia kwenye drama; basi sawa wachina wanakula sana utumbo wa kitabu tuchangamkie fursa tuuze utumbo kwa dola.