Malaika wa Kifo
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 4,009
- 4,554
Nilienda ofisini kwao wakaniambia kupata namba yako ya mtandao mwingine (special number) kuja Halotel ni Elfu 20.Bado mko Voda tu? Jaribuni na Halotel jamaa wako vizuri.
Nilienda ofisini kwao wakaniambia kupata namba yako ya mtandao mwingine (special number) kuja Halotel ni Elfu 20.Bado mko Voda tu? Jaribuni na Halotel jamaa wako vizuri.
Wameleta 2.5gb kwa 2500 ila bear in mind muda wowote utakumbana na edge.Warudishe unlimited internet wezi hawa.
mkuu hakuna 'kamfano' tofauti na 'katoto ka primary' angalau maadili kiasi!!!Kwaiyo mb vp..maana voda na tigo aisee mb majangaaa.....but voda net ipo faster kuliko tigo..........tigo kwa mkoa km wa mbeya kuna sehem zingine n kama umetongaza katoto ka primary mala kanakubali baadae kanakataa tena ...hivyohivyoo...wanazingua sana tigo
Limited unlimited...700 mbWarudishe unlimited internet wezi hawa.
Ya mitongozo kwa madenti, angalau sekondari basi mkuu,!!! wa msingi!!!!Tabia gan mkuu.....??
mimi nasikia na nimejiridhisha kabisa HALOTEL walipangiwa vifurushi na hawa mabwana wa TCRA baada kuwa mabosi wao wa VODACOM walikuwa wamewaweka mfukuniYa mitongozo kwa madenti, angalau sekondari basi mkuu,!!! wa msingi!!!!
Ni mfano tuu kaka......kwan hujawai kupitia hayo mambooo.....ah ah et sec...mm huko kwa watt sipo kabisaaa hata vya chuo nala wahitimu inapo bidiii....Ya mitongozo kwa madenti, angalau sekondari basi mkuu,!!! wa msingi!!!!
Hawawezi kuhujumiwa si unajua Mkubwa ana hisa Halotel,ule ugeni wa hivi karibuni toka Vietnam ulibeba ujumbe mujarabu.Hawa Voda fitina sana. Huyu Halotel aangalie asije hujumiwa kama SASATEL
Ni kweli kabisa mkuu,WALEJEA ndio kufanyaje? au sawa na kulegea?Au una maanisha WAREJEA kwa maana kurudi? Kiswahili taabu hata kwa Mtanzania jamani.