SALUM S HEMED
JF-Expert Member
- Mar 4, 2016
- 1,437
- 1,861
Mkuu hao wadudu ni hatari asikwambie mtu wanashambulia zaid ya al shabaab yanii wakiingia shambani asubhui unalia mkuu mbaya zaid hakuna dawa inayoweza kuwakill hawa wadudu nishawapiga mpaka dawa ya ng'ombe ila awakufa maana madawa ya maduka ya kilmo nilinunua mpaka nilichanganyikiwa...mwaka jana mwezi wa sita nimekutana nao mlandiz kuna sehem inaitwa kwa dosa kuna mashamba ukivuka mto kitela nilinunua shamba no way nilikimbia mkuu nimetumia dawa zote mpaka duduba viwa vijesh wapo wala awafi kwa dawa...ila wenyeji wakaniambia nisijisumbue wanaletwa na mungu ilipofika mwezi wa saba uwezi amini waliondoka wenyewe tena wote wakulima tukarudi mashambani tukalima tukavuna mpaka leo nakula ugali ukiniuliza kilo ya unga ni bei gani? ?kusema ukweli sijui nasikia kwa watu tu