Vitz vs starlet

Mkuu ratio ni hyo hyo International Vehicle Standards (IVS) ndio wana recommend ratio hyo kwa magari madogo 1/100Km huku Heavy Duty Trucks ni 13.3/100Km na magari ya kati ni 10.7/100Km kama nilivyosema hapo mwanzo ulaji wa mafuta kwa gari unatokana na mapendekezo ya mtengenezaji kutokana na speed au nguvu inayotumika kwenye engine na ndo maana ulaji wa mafuta gari iliyotupu ni tofauti na gari yenye mizigo mfano ukiwa unaendesha baiskeli ukiwa peke yako nguvu utakayo tumia ni tofauti na ukiwa umepakiza mizigo au mtu mwingine pia ulaji wa mafuta auna mahusiano na Cc na Cylinders (horsepower) mfano kuna gari linaitwa Mazda rx8 ina Cc 1300 na 4 Cylinder lakini ulaji wake wa mafuta ni kama ina engine ya V8 lakini inakimbia zaidi ya Alteeza ikiwa na speed ya 239 km/h na inauwezo wa zero to 96.56 km/h in 6.3 seconds pamoja kuwa na Cc ndogo na horsepower au Cylinders 4

Magari mengi sana yanatumia mafuta mengi kutokana na watu kutokujua tu mfano magari ya ulaya yanatumia mafuta kidogo sana pamoja na kuwa na Cc kubwa watengenezaji wameweka matumizi ya umeme kuliko mafuta kwenye magari zipo sababu znazofanya magari kunywa mafuta sana ila watu wengi wakiona gari inakwenda bhasi wanaona ni sawa tu lakini zipo sababu nying sana nitakutolea chache

1 bad timing
2 bad sparkplugs
3 low octane fuel
4 malfunctioning coolant temperature sensor
5 blocked catalytic converter(s)
6 malfunctioning MAP/MAF sensors
7 driving with the parking brake engaged
8 having aftermarket wings on the car.
9 tyres not inflated to the recommended pressure

Kitu kingine ambacho nimekiona kwa wabongo wengi ni uendeshaji mbaya wa magari watu wengi si madereva wazuri hata ktk ubadilishaji wa gia tu utajua huyu si dereva hata gari ya automatic nayo inauendeshaji wake si ukiweka D basi
Mkuu njoo endelea kuongeza nyama hapo kwenye magar yanayotumia umeme zaid ya mafuta so unamaanisha ukiwa na BMW yenye 2500cc ni sawa na mtu mwenye toyota ist 1500 cc. Kwa upande mwingine naweza kukubaliana na ww coz kuna mshikaj ana hiyo BMW anasema anatembea 13km per litre
 
Mkuu ratio ni hyo hyo International Vehicle Standards (IVS) ndio wana recommend ratio hyo kwa magari madogo 1/100Km huku Heavy Duty Trucks ni 13.3/100Km na magari ya kati ni 10.7/100Km kama nilivyosema hapo mwanzo ulaji wa mafuta kwa gari unatokana na mapendekezo ya mtengenezaji kutokana na speed au nguvu inayotumika kwenye engine na ndo maana ulaji wa mafuta gari iliyotupu ni tofauti na gari yenye mizigo mfano ukiwa unaendesha baiskeli ukiwa peke yako nguvu utakayo tumia ni tofauti na ukiwa umepakiza mizigo au mtu mwingine pia ulaji wa mafuta auna mahusiano na Cc na Cylinders (horsepower) mfano kuna gari linaitwa Mazda rx8 ina Cc 1300 na 4 Cylinder lakini ulaji wake wa mafuta ni kama ina engine ya V8 lakini inakimbia zaidi ya Alteeza ikiwa na speed ya 239 km/h na inauwezo wa zero to 96.56 km/h in 6.3 seconds pamoja kuwa na Cc ndogo na horsepower au Cylinders 4

Magari mengi sana yanatumia mafuta mengi kutokana na watu kutokujua tu mfano magari ya ulaya yanatumia mafuta kidogo sana pamoja na kuwa na Cc kubwa watengenezaji wameweka matumizi ya umeme kuliko mafuta kwenye magari zipo sababu znazofanya magari kunywa mafuta sana ila watu wengi wakiona gari inakwenda bhasi wanaona ni sawa tu lakini zipo sababu nying sana nitakutolea chache

1 bad timing
2 bad sparkplugs
3 low octane fuel
4 malfunctioning coolant temperature sensor
5 blocked catalytic converter(s)
6 malfunctioning MAP/MAF sensors
7 driving with the parking brake engaged
8 having aftermarket wings on the car.
9 tyres not inflated to the recommended pressure

Kitu kingine ambacho nimekiona kwa wabongo wengi ni uendeshaji mbaya wa magari watu wengi si madereva wazuri hata ktk ubadilishaji wa gia tu utajua huyu si dereva hata gari ya automatic nayo inauendeshaji wake si ukiweka D basi
Nimekuelewa sana mkuu...
 
vitz ndo nzuri kwa mimi ninavyoona as ukizingatia starlet ni magari ya zamani sana mara ya mwisho kutengenezwa na kuwa in production ni 1999 ....vitz ni gari nzuri sana huwezi compare vitz na hawa kina IST sijui kina porte,sienta,passo nk vitz ni gari ngumu sana haswa zile za kwanza kabisa baada ya kusitishwa starlet namaanisha za 1999-2005 japo hata hizi generation ya pili ni nzuri kiumbo ziko vizur sana kwanzia mfumo wa uingizwaji mafuta na uchomaji ni tofauti na mzuri nikimaanisha hata za petroli hasisumbui mafuta na kwa wale wasio na haraka kuna ya diesel ni nzuri sana japo sijajua ubora wake maana injin za diesel huwaga zinasumbua kiasi

vitz ya diesel highway ukiwa na spidi kati ya 80-90 inakula lita 1 kwa kila 24km
 
Nimekuelewa sana mkuu...
hakuna kitu km HICHO asilani lita moja kilomita 100 kwa hapa TZ labda kwa wenzetu
Mkuu ratio ni hyo hyo kwa magari madogo gari ikiwa aina tatizo lolote kwenye mifumo ya engine au mafuta kwa Heavy Duty Trucks ni 13.3/100 km na kwenye gari
utoke Singida mpaka Dar kwa galloni moja la 5lts
source ya hiyo IVS wenzetu wana vitu vingi Solar, betri nk
 
hakuna kitu km HICHO asilani lita moja kilomita 100

dogo rudi tena utuambie ni injini ya aina gani hiyo ambayo haiuawahi juingia hata hapa TZ
utoke Singida mpaka Dar kwa galloni moja la 5lts
source ya hiyo IVS
Unaweza kusoma usielewe pia, akili tunazaliwa nazo shule tunakwenda kupata maarifa si Akili kwani akili tunakwenda nazo hv unajua maana ya Ratio ? wanaposema tafiti zinasema kwa kila Wanzania 4 mmoja ni kichaa je swali nyumbani kwako mnaishi wangapi? kama ni zaid ya 4 je kuna kichaaa? au unapotembea siku nzima unakutana na watu wazima wangapi na vichaa wangapi je inalingana na ratio iliyotolewa?

Tumia akili ww ratio ni hyo hyo International Vehicle Standards (IVS) ndio wana recommend ratio hyo kwa magari madogo 1/100Km huku Heavy Duty Trucks ni 13.3/100Km na magari ya kati ni 10.7/100Km kama nilivyosema hapo mwanzo ulaji wa mafuta kwa gari unatokana na mapendekezo ya mtengenezaji kutokana na speed au nguvu inayotumika kwenye engine na ndo maana ulaji wa mafuta gari iliyotupu ni tofauti na gari yenye mizigo mfano ukiwa unaendesha baiskeli ukiwa peke yako nguvu utakayo tumia ni tofauti na ukiwa umepakiza mizigo au mtu mwingine pia ulaji wa mafuta auna mahusiano na Cc na Cylinders (horsepower) mfano kuna gari linaitwa Mazda rx8 ina Cc 1300 na 4 Cylinder lakini ulaji wake wa mafuta ni kama ina engine ya V8 lakini inakimbia zaidi ya Alteeza ikiwa na speed ya 239 km/h na inauwezo wa zero to 96.56 km/h in 6.3 seconds pamoja kuwa na Cc ndogo na horsepower au Cylinders 4
Magari mengi sana yanatumia mafuta mengi kutokana na watu kutokujua tu mfano magari ya ulaya yanatumia mafuta kidogo sana pamoja na kuwa na Cc kubwa watengenezaji wameweka matumizi ya umeme kuliko mafuta kwenye magari zipo sababu znazofanya magari kunywa mafuta sana ila watu wengi wakiona gari inakwenda bhasi wanaona ni sawa tu lakini zipo sababu nying sana nitakutolea chache
1 bad timing
2 bad sparkplugs
3 low octane fuel
4 malfunctioning coolant temperature sensor
5 blocked catalytic converter(s)
6 malfunctioning MAP/MAF sensors
7 driving with the parking brake engaged
8 having aftermarket wings on the car.
9 tyres not inflated to the recommended pressure
Kitu kingine ambacho nimekiona kwa wabongo wengi ni uendeshaji mbaya wa magari watu wengi si madereva wazuri hata ktk ubadilishaji wa gia tu utajua huyu si dereva hata gari ya automatic nayo inauendeshaji wake si ukiweka D basi

Soma na uelewe
 
Most Efficient Cars by EPA Size Class
(including electric vehicles)
EPA Class
Vehicle Combined
MPG For electric vehicles, a conversion factor is used to translate the fuel economy from kWh/100 miles into miles per gallon of gasoline equivalent (MPGe).">

Two-Seaters

smart fortwo cabriolet

0.9 L, 3 cyl, Auto(AM6), Premium Gas
35miles

smart fortwo coupe

0.9 L, 3 cyl, Auto(AM6), Premium Gas
35Miles
Hizi gari ndizo zinatumia petrol
lakini hizi za chini zinachanganya na umeme kwa mfano ya chini kabisa inaenda mpaka maili 136 lakini maili 124 ni umeme tu

Minicompacts

Fiat 500e

A-1, 82 kW AC Induction
112
Subcompacts

BMW i3 BEV (60 Amp-hour battery)

A-1, 125 kW AC Induction
124
Compacts

Ford Focus Electric

A-1, 150 kW ACPM
107
Midsize

Hyundai Ioniq Electric

A-1, 88 kW PMSM
136 miles
2017 Hyundai Ioniq Electric
 
Unaweza kusoma usielewe pia, akili tunazaliwa nazo shule tunakwenda kupata maarifa si Akili kwani akili tunakwenda nazo hv unajua maana ya Ratio ?
Soma na uelewe
Dogo nimekuambie uweke link unaleta blah blah na stpry za kuCopy
hicho kitu chako cha kuunga eti kuna IVS hakuna duniani ila ni akili zako za kuzaliwa
nimekupa magari ya leo 2017 yanayokwenda umbali mrefu kwa kutumia Petrol (na umeme0
wewe unajibu kwa kashfa, sisi hapa tupo kwa kueleweshana na hatukosoani ndio maana kina Mshana Jr wakaanzisha jukwaa hili tukijua tutakutana mafundi na wasio mafundi, wenye leseni na wasio nazo
sasa tuelimishane kwa staha
ingia Google au Wikipedia tafuta hiyo mada yako ya lita 1= 100km
 
kwa hyo ww source yako kubwa ni Google je kama sehemu zingine hakuna Google wanatoa wapi taarifa? pia siwezi kumjibu mtu kwa staha wakati ww unaleta dharau nani unamwita Dogo je unajua umri wangu ? kitu kama uelewi si unauliza unaeleshwa nimekuekewesha sasa kukubali au kukataa ni kazi yako si yangu
 
Unaweza kusoma usielewe pia, akili tunazaliwa nazo shule tunakwenda kupata maarifa si Akili kwani akili tunakwenda nazo hv unajua maana ya Ratio ? wanaposema tafiti zinasema kwa kila Wanzania 4 mmoja ni kichaa je swali nyumbani kwako mnaishi wangapi? kama ni zaid ya 4 je kuna kichaaa? au unapotembea siku nzima unakutana na watu wazima wangapi na vichaa wangapi je inalingana na ratio iliyotolewa?

Tumia akili ww ratio ni hyo hyo International Vehicle Standards (IVS) ndio wana recommend ratio hyo kwa magari madogo 1/100Km huku Heavy Duty Trucks ni 13.3/100Km na magari ya kati ni 10.7/100Km kama nilivyosema hapo mwanzo ulaji wa mafuta kwa gari unatokana na mapendekezo ya mtengenezaji kutokana na speed au nguvu inayotumika kwenye engine na ndo maana ulaji wa mafuta gari iliyotupu ni tofauti na gari yenye mizigo mfano ukiwa unaendesha baiskeli ukiwa peke yako nguvu utakayo tumia ni tofauti na ukiwa umepakiza mizigo au mtu mwingine pia ulaji wa mafuta auna mahusiano na Cc na Cylinders (horsepower) mfano kuna gari linaitwa Mazda rx8 ina Cc 1300 na 4 Cylinder lakini ulaji wake wa mafuta ni kama ina engine ya V8 lakini inakimbia zaidi ya Alteeza ikiwa na speed ya 239 km/h na inauwezo wa zero to 96.56 km/h in 6.3 seconds pamoja kuwa na Cc ndogo na horsepower au Cylinders 4
Magari mengi sana yanatumia mafuta mengi kutokana na watu kutokujua tu mfano magari ya ulaya yanatumia mafuta kidogo sana pamoja na kuwa na Cc kubwa watengenezaji wameweka matumizi ya umeme kuliko mafuta kwenye magari zipo sababu znazofanya magari kunywa mafuta sana ila watu wengi wakiona gari inakwenda bhasi wanaona ni sawa tu lakini zipo sababu nying sana nitakutolea chache
1 bad timing
2 bad sparkplugs
3 low octane fuel
4 malfunctioning coolant temperature sensor
5 blocked catalytic converter(s)
6 malfunctioning MAP/MAF sensors
7 driving with the parking brake engaged
8 having aftermarket wings on the car.
9 tyres not inflated to the recommended pressure
Kitu kingine ambacho nimekiona kwa wabongo wengi ni uendeshaji mbaya wa magari watu wengi si madereva wazuri hata ktk ubadilishaji wa gia tu utajua huyu si dereva hata gari ya automatic nayo inauendeshaji wake si ukiweka D basi

Soma na uelewe

Mkuu ulimwengu huu wa teknolojia kiganjani watu hawabishani tena wala kudanganyana

Toyota - Vitz - 1.0 i 16V (70 Hp) - Technical specifications, Fuel economy (consumption)

Pata full specification za Virtz hapo
Fuel consumption 4.6/100 na sio 1/100

Achana na longolongo zako za wabongo sijui hawajui hiki na kile
 
Wakuu naomba kujua kati ya izo gari mbili ....ipi ina ubora zaidi....? Kwa upande wa kula mafuta na usafiri wa umbali mrefu ...vilevile ni gari ipi inayo weza kudumu ...kwa mda mrefu......

Ni hayo tyu wakuu. ....wenye kujua wanijuvyeee

Mkuu zote tu ni gari nzuri na kwa utaalamu mdogo zinafanana sana specification kulingana na engine
Maana kuna aina tofauti za Starlet na Virtz pia

Ila mi ningekushauri chukua virtz, angalau za kisasa ziadi ya starlet, kudumu kwa gari ni matumizi na matuzo yake tu
 
Oyaaaa nunua vitz,weka mziki wa million na nusu,weka rimsport na tyre mpya,unaenda popote,Lita 32 unatembea kilometa 567.2,,,ukitoka dar tabora tank moja unusu fasta unatoboa kanyenye pale oxygen lounch unakula kuku choma. Vitz kwa mafuta utaona km unawaibia sheli ndugu,,starlet ya ki old old weka vitz tia mziki wa maana Masaa kumi upo tabora,kigoma baada ya masaa Kumi na sita unatoboa
 
Mkuu ulimwengu huu wa teknolojia kiganjani watu hawabishani tena wala kudanganyana
Toyota - Vitz - 1.0 i 16V (70 Hp) - Technical specifications, Fuel economy (consumption)
Pata full specification za Virtz hapo
Fuel consumption 4.6/100 na sio 1/100
Achana na longolongo zako za wabongo sijui hawajui hiki na kile
Mkuu bora na wewe umenisaidia, mtu anakuambia mm nimesomea nyumbani akili za kuzaliwa situmii google wala darasani
humu wengi tunadanganyana wakatu mahesabu yapo wazi sasa member ankuambia eti ratio ya 1/100
si bora agawe hiyo ya Vits lita 3.3 kwa kilomita 100 atajua Vits inatembea kilomita zaidi ya 30 kwa lita
Fuel consumption (economy) - urban 4.6 l/100 km.
Fuel consumption (economy) - extra urban 3.3 l/100 km.
 
kwa hyo ww source yako kubwa ni Google je kama sehemu zingine hakuna Google wanatoa wapi taarifa? pia siwezi kumjibu mtu kwa staha wakati ww unaleta dharau nani unamwita Dogo je unajua umri wangu ? kitu kama uelewi si unauliza unaeleshwa nimekuekewesha sasa kukubali au kukataa ni kazi yako si yangu
haya Mkuu km hata Google huijui basi hata tank la petrol hutalijua liliko au carburator, nozzel, Commonrail ni nini na inasaidia nini kupunguza ulaji wa mafuta
Hongera kwa kuwa Genius wa nyumbani na ukajua magari ya watu bila kupitia vitabu vyao
 
Mkuu ulimwengu huu wa teknolojia kiganjani watu hawabishani tena wala kudanganyana

Toyota - Vitz - 1.0 i 16V (70 Hp) - Technical specifications, Fuel economy (consumption)

Pata full specification za Virtz hapo
Fuel consumption 4.6/100 na sio 1/100

Achana na longolongo zako za wabongo sijui hawajui hiki na kile
Nashindwa hata kujua ulichoniitia huku nani amezungumzia vitz kwenye hyo post uliyoniquote? soma vizuri post si kukimbilia kuquote tu kama unamawazo yako unaweza kuyaweka si quote mtu ndo uelezee mawazo yako

Mimi nilkuwa nazungumzia ratio za mafuta kwa mujibu wa International Vehicle Standards (IVS) ndio wana recommend ratio hyo kwa magari madogo 1/100Km huku Heavy Duty Trucks ni 13.3/100Km na magari ya kati ni 10.7/100Km lakini ulaji wa mafuta unategemeana na mapendekezo ya mtengenezaji wa gari husika kutokana na speed (RPM) au nguvu(HP) inayotumika kwenye engine

Pia nikasema ulaji wa mafuta hauna mahusiano na Cc na Cylinders (horsepower) mfano kuna gari linaitwa Mazda rx8 ina Cc 1300 na 4 Cylinder lakini ulaji wake wa mafuta ni kama ina engine ya V8 lakini inakimbia zaidi ya Alteeza ikiwa na speed ya 239 km/h na inauwezo wa zero to 96.56 km/h in 6.3 seconds pamoja kuwa na Cc ndogo na horsepower au Cylinders 4 so ulaji wa mafuta kwa gari hauna mahusiano ya Cc za gari au Cylinders(HP) bali ni maamuzi ya yule aliyetengeneza gari husika

Pia nikatoa na sababu kwa nini gari inaweza kutumia mafuta zaidi ya ratio yake mfano Vitz au Yaris ni 4.6 mpaka 5.8 kwa 100km hii ndio ratio yake nikaeleza vitu vinavyoweza kusababisha matumizi mabaya ya mafuta kwenye gari sasa nakushangaa napo unapisha na kuita ni longolongo zangu dah nashindwa kuelewa au najiuliza ufahamu wako ni kiasi gani juu ya magari au ww ni wale waendesha magari na si dereva ? maana kuna dereva na waendesha magari

Kwenye post yangu sijazungumzia virts hata kidogo ndo maana nakwambia soma na uelewe ndo UQUOTE
 
Ratio ya mafuta ni liter 1/100km sasa kinacho ongezeka ni nguvu yani Horsepower Vits inaanzia cc 1000 mpaka 1300 kwa vits toleo la zamani wakati toleo jipya ni 1500 Stalets zipo za kama aina 4 lakini cc inaanzia 1300 mpaka 1800 kwa stalet granza hii ni kama sport car stalet hawana new model kwani wameanza kuzitengeneza mwaka 1973 to 1999
unamaana kilometer 100 kwa lita moja?
 
haya Mkuu km hata Google huijui basi hata tank la petrol hutalijua liliko au carburator, nozzel, Commonrail ni nini na inasaidia nini kupunguza ulaji wa mafuta
Hongera kwa kuwa Genius wa nyumbani na ukajua magari ya watu bila kupitia vitabu vyao
Sijasema sijui Google bali nimekwambia

" kwa hyo ww source yako kubwa ni Google je kama sehemu zingine hakuna Google wanatoa wapi taarifa?"
ww ndio umeuliza kwa kutokutumia hekima huwezi kumwita mtu Dogo ambae umjui pia hata huwezi ku Verify umri wake humu tunajina tunaitana kwani ni ngumu kumjua mtu umri wake au jinsia yake

Kwangu mm ni dharau kubwa sana kuniita dogo hata kama umenizidi umri
 
unamaana kilometer 100 kwa lita moja?
Ratio ya mafuta kwa gari ndogo ni 1/100km kwa mujibu wa International Vehicle Standards (IVS) lakini ulaji wa mafuta anapanga mtendenezaji wa gari kutokana na nguvu ya engine (HP) na kwa speed fulani ya gari (RPM) kuhusu matumizi ya mafuta kwa magari hayo ni 4.6 to 5.8 kwa 100km
 
Back
Top Bottom