Mkuu naomba ufafanuzi hiyo ratio ya 1lt/100km au unamaanisha 1lt/10km maana hata pikipiki si hivyo!
Mkuu ratio ni hyo hyo International Vehicle Standards (IVS) ndio wana recommend ratio hyo kwa magari madogo 1/100Km huku Heavy Duty Trucks ni 13.3/100Km na magari ya kati ni 10.7/100Km kama nilivyosema hapo mwanzo ulaji wa mafuta kwa gari unatokana na mapendekezo ya mtengenezaji kutokana na speed au nguvu inayotumika kwenye engine na ndo maana ulaji wa mafuta gari iliyotupu ni tofauti na gari yenye mizigo
Mfano ukiwa unaendesha baiskeli ukiwa peke yako nguvu utakayo tumia ni tofauti na ukiwa umepakiza mizigo au mtu mwingine pia ulaji wa mafuta auna mahusiano na Cc na Cylinders (horsepower) mfano kuna gari linaitwa Mazda rx8 ina Cc 1300 na 4 Cylinder lakini ulaji wake wa mafuta ni kama ina engine ya V8 lakini inakimbia zaidi ya Alteeza ikiwa na speed ya 239 km/h na inauwezo wa zero to 96.56 km/h in 6.3 seconds pamoja kuwa na Cc ndogo na horsepower au Cylinders 4
Magari mengi sana yanatumia mafuta mengi kutokana na watu kutokujua tu mfano magari ya ulaya yanatumia mafuta kidogo sana pamoja na kuwa na Cc kubwa watengenezaji wameweka matumizi ya umeme kuliko mafuta kwenye magari zipo sababu znazofanya magari kunywa mafuta sana ila watu wengi wakiona gari inakwenda bhasi wanaona ni sawa tu lakini zipo sababu nying sana nitakutolea chache
1 bad timing
2 bad sparkplugs
3 low octane fuel
4 malfunctioning coolant temperature sensor
5 blocked catalytic converter(s)
6 malfunctioning MAP/MAF sensors
7 driving with the parking brake engaged
8 having aftermarket wings on the car.
9 tyres not inflated to the recommended pressure
Kitu kingine ambacho nimekiona kwa wabongo wengi ni uendeshaji mbaya wa magari watu wengi si madereva wazuri hata ktk ubadilishaji wa gia tu utajua huyu si dereva hata gari ya automatic nayo inauendeshaji wake si ukiweka D basi