dem boy
JF-Expert Member
- Nov 4, 2016
- 6,514
- 15,641
ndonga kama tozo!!!!!!
ndonga kama tozo!!!!!!
Ukiacha simu unlocked au locked na password inajulikana wife akiikamata kama anamawivu tegemea kukuta vitu vya namna hii...
Hyo comment ya mwisho hapo "on behalf of Muslims...." Imeniacha hoi
Sent from my Huawei mate 9
Hawa nao ni wahenga.
Hyo comment ya mwisho hapo "on behalf of Muslims...." Imeniacha hoi
Naona kuna ukweli hapaUkiacha simu unlocked au locked na password inajulikana wife akiikamata kama anamawivu tegemea kukuta vitu vya namna hii...
I'm sure hio kitu amepost mke wa huyo jamaa