Duniahadaa
JF-Expert Member
- Oct 16, 2017
- 336
- 677
Kuna andiko limeandaliwa na wadau linalochambua vituko (sio dosari bali ni janga) vilivyopo katika vitabu vinavyodaiwa kuboreshwa na TIE baada ya vile vya awali kuchomwa moto.
Dosari na vituko hivyo havielezeki kabisa kwa lugha ya kawaida. Ni janga, mizaha na vichekesho ambavyo vinaonyesha kuwa wenye dhamana ya kuandaa vitabu wanafanya mizaha au hawawezi.
Baadhi ya makosa ni kufundisha alama za taifa ( kama bendera na nembo) ambazo si za Tanzania na kudai ni za Tanzania.
Kwa mujibu wa taratibu za kupitisha vitabu, Waziri ndIye mtu wa mwisho, je hakuona haya?
Siku ya leo na kesho kwa Wabunge wanaojali mustakabali wa Elimu naamnini Ndalichako watamtundika msalabani.
NB: Atakayetaka andiko lote ani- pm tafadhali.