Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,176
upo mkubw wa kazi?yatakuwa yamefikia tamati kwa sababu hao wengine hawana uthubutu
ndio maandalizi ya tanzania ya viwanda haya?
upo mkubw wa kazi?yatakuwa yamefikia tamati kwa sababu hao wengine hawana uthubutu
Wakati tukiendelea kushuhudia majina kadhaa ya watu maarufu na wasanii yakitajwa na kutakiwa kufika Kituoni kwa ajili ya Mahojiano, ningependa tujihoji maswali machache ili tuweze kupanua ufahamu wetu juu ya swala hili ambalo sasa limeteka vuchwa vya habari na likiwa limeingia katika “awamu ya pili” inayodaiwa kuwa itakuwa na “mawimbi makubwa”:
1. Kwanini “mapambano” haya dhidi ya dawa za kulevya hayaongozwi na taasisi husika kama vile Tume ya Uratibu na Udhibiti waDawa za kulevya, Jeshi la Polisi na vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama?[/B]
Unamfahamu mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wa mkoa?
2. Tatizo hili la Madawa ya Kulevya lipo Dar es Salaam peke yake?Kma ni kwa nchi nzima mbona Mikoani huko vita hii haiendelei?
Ni initiative ya mkuu wa mkoa wa DSM kupambana kwenye mkoa wake. Makonda sio mkuu wa mkoa wa Tanzania.
3. Ni vigezo gani vinatumika kuandaa listi hizi za wanaoitwa kwenda Central?. Kama ni uchunguzi, ni taasisi gani inayofanya uchunguzi huo?
Viko vyombo vya ulinzi na usalama vina majukumu hayo. Haiandaliwi chumbani hii
4. Kwanini watuhumiwa hawa wanaitwa Central Police wakati aliyeandaa List hahusiki na hana mamlaka yoyote kisheria pale Polisi Central?
Mkuu wa mkoa hana mamlaka polisi? Una matatizo wewe!
5. Watauhumiwa hawa wanapofika Central nani anayewahoji?
Wasiliana na akina TID watakusaidia nani anayefanya mahojiani polisi
6. Serikali iliyopita iliwahi kujinadi kuwa wanayo listi ya Wauzaji wa Dawa za Kulevya, je watuhumiwa hawa ni sehemu ya listi hizo? Kma jibu ni ndio kwanini listi haikukabidhiwa kwa vyombo husika?
Vyombo husika ni vipi? Uchunguzi umefanyika muda mrefu
7. Mwendeshaji wa “mpambano” haya akiacha kwa sababu yoyote iwayo, mapambano yatakuwa yamefikia tamati au yataendelea?
Mkuu wa mkoa ni madaraka sio mtu. Sema wadhifa huo ukifutwa itakuwaje, otherwise ni upuuzi
Nadhani haya ni baadhi ya maswali muhimu ya kujihoji katika wakati huu ili kuondoa miguno na sintofahamu zinazoweza kuibuka au kuibuliwa.
Hakuna swali muhimu hata moja hapo.
Kwa sisi wananchi tunachotaka n mapambano dhidi ya madawa ya kulevya kwa kuwa tatizo hili limefika pabaya,hatujali mapambano yanaongozwa na nani,tunajali seriousness ya muongozaji,afterall mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa tayari ni taasisi halali kisheria yenye mamlaka ya kudeal na chochote kinachohatarisha usalama wa watu wake,usitake kuleta cosmetical barriers kwenye mambo ya msingi,ukipenda hata wewe aongoze mpambano huu tutakuunga mkono.Wakati tukiendelea kushuhudia majina kadhaa ya watu maarufu na wasanii yakitajwa na kutakiwa kufika Kituoni kwa ajili ya Mahojiano, ningependa tujihoji maswali machache ili tuweze kupanua ufahamu wetu juu ya swala hili ambalo sasa limeteka vuchwa vya habari na likiwa limeingia katika “awamu ya pili” inayodaiwa kuwa itakuwa na “mawimbi makubwa”:
1. Kwanini “mapambano” haya dhidi ya dawa za kulevya hayaongozwi na taasisi husika kama vile Tume ya Uratibu na Udhibiti waDawa za kulevya, Jeshi la Polisi na vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama?
2. Tatizo hili la Madawa ya Kulevya lipo Dar es Salaam peke yake?Kma ni kwa nchi nzima mbona Mikoani huko vita hii haiendelei?
3. Ni vigezo gani vinatumika kuandaa listi hizi za wanaoitwa kwenda Central?. Kama ni uchunguzi, ni taasisi gani inayofanya uchunguzi huo?
4. Kwanini watuhumiwa hawa wanaitwa Central Police wakati aliyeandaa List hahusiki na hana mamlaka yoyote kisheria pale Polisi Central?
5. Watauhumiwa hawa wanapofika Central nani anayewahoji?
6. Serikali iliyopita iliwahi kujinadi kuwa wanayo listi ya Wauzaji wa Dawa za Kulevya, je watuhumiwa hawa ni sehemu ya listi hizo? Kma jibu ni ndio kwanini listi haikukabidhiwa kwa vyombo husika?
7. Mwendeshaji wa “mpambano” haya akiacha kwa sababu yoyote iwayo, mapambano yatakuwa yamefikia tamati au yataendelea?
Nadhani haya ni baadhi ya maswali muhimu ya kujihoji katika wakati huu ili kuondoa miguno na sintofahamu zinazoweza kuibuka au kuibuliwa.
Nimeona ni vyema tujiulize haya
Nimeshangaa. haya ni maswali kweli? huna majibu ya haya kweli? Futa huu uzi unapoteza muda
Mkuu wa mkoa wa Dar ameamua kudeal na mkoa wake wa dar kwa sababu liko ndani ya uwezo wake.Hee, mbona haya ni maswali ya msingi kbisa na tena mazito? Vyombo vinavyphusika na dawa za kulevya vipo, tusiulize kunani? Waziri yupo na yupo kimya
Hujajibu chochote hapa! Vita ya dawa za kulevya ina mtandao mpana. Haiwezi kuwa confined kwenye mkoa mmoja. Inahiyaji concerted efforts. Hata Tanzania wenyewe hstuwezi kupambana na dawa kulevya bila kushirikisha wenzetu wa Afrika mashariki na majirsni wengine! Labda uniambie mnatania tu! Lakini vita ya dawa za kulevya haipiganwi hivyo! Kwa sababu mwisho wa siku hii approach haitaleta mafanikio!Nikusaidie kidogo kwa jambo lililo wazi. Mkuu wa mkoa ndiye mwenyekiti wa ulinzi na usalama wa mkoa kwa hiyo anayo mamlaka kwenye vyombo hivyo pia . kwa hiyo kupata taarifa za uharifu na usalama wa mkoa kwake ni jambo dogo sana kwa sababu wakuu wa hivyo vyombo vya ulinzi na usalama ngazi ya mkoa wanatii kwa mkuu wa mkoa... kwa hiyo ana uwezo wa kuagiza polisi wachunguze wazuie wakamate wahoji walinde na wanafanya hivyo mara moja.
Wakati tukiendelea kushuhudia majina kadhaa ya watu maarufu na wasanii yakitajwa na kutakiwa kufika Kituoni kwa ajili ya Mahojiano, ningependa tujihoji maswali machache ili tuweze kupanua ufahamu wetu juu ya swala hili ambalo sasa limeteka vuchwa vya habari na likiwa limeingia katika “awamu ya pili” inayodaiwa kuwa itakuwa na “mawimbi makubwa”:
1. Kwanini “mapambano” haya dhidi ya dawa za kulevya hayaongozwi na taasisi husika kama vile Tume ya Uratibu na Udhibiti waDawa za kulevya, Jeshi la Polisi na vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama?
2. Tatizo hili la Madawa ya Kulevya lipo Dar es Salaam peke yake?Kma ni kwa nchi nzima mbona Mikoani huko vita hii haiendelei?
3. Ni vigezo gani vinatumika kuandaa listi hizi za wanaoitwa kwenda Central?. Kama ni uchunguzi, ni taasisi gani inayofanya uchunguzi huo?
4. Kwanini watuhumiwa hawa wanaitwa Central Police wakati aliyeandaa List hahusiki na hana mamlaka yoyote kisheria pale Polisi Central?
5. Watauhumiwa hawa wanapofika Central nani anayewahoji?
6. Serikali iliyopita iliwahi kujinadi kuwa wanayo listi ya Wauzaji wa Dawa za Kulevya, je watuhumiwa hawa ni sehemu ya listi hizo? Kma jibu ni ndio kwanini listi haikukabidhiwa kwa vyombo husika?
7. Mwendeshaji wa “mpambano” haya akiacha kwa sababu yoyote iwayo, mapambano yatakuwa yamefikia tamati au yataendelea?
Nadhani haya ni baadhi ya maswali muhimu ya kujihoji katika wakati huu ili kuondoa miguno na sintofahamu zinazoweza kuibuka au kuibuliwa.
Nimeona ni vyema tujiulize haya
Bado kidogo muamini kama hii vita ni ya kweli
Ndiyo maswali magumu hayo? Hata ukiyapeleka darasa la 4 Shule ya msingi Mzimuni watayajibu yote kwa nusu dakika!