Abdalah Abdulrahman
JF-Expert Member
- Aug 29, 2019
- 222
- 202
Sifa ya kiongozi ni kuweza kufikiri nje ya boxi, kwa maana ya kuwa na IQ kubwa katika kutatua changamoto za kila siku za wale unaowaongoza. Rais wa Tanzania amekua akilionesha hili wazi kupitia mapambano yake na rushwa, wafanyakazi hewa, matumizi mazuri ya pesa za umma, usimamizi mzuri wa watendaji na maamuzi mazuri katika kuendea mambo.
Janga la Corona limetoa taswira ya kipekee kwa uongozi wa Rais John Magufuli. Mfano wa kwanza ni ule wa vifaa feki vya kutoa majibu ya corona ambapo aliweka wazi kwa dunia kuwa kama vifaa hivi havitoi majibu sahihi ya vipimo kwa kupeleka sampuli ya papai, na vitu vingine ambavyo vilionekana vina corona.
Mafano wa pili ni wa hivi karibuni alipotoa angalizo kuwepo kwa barakoa feki na ambazo ndizo sababu za maambukizi ya corona. Angalizo hili sasa hivi linatolewa na nchi nyingi duniani.
Asante Dr Magufuli