ngombelee
JF-Expert Member
- Jun 6, 2014
- 376
- 285
Alie kufundisha Kwamba Ibrahim, Yakob ni wana Israel kakudanganyaNaona kitabu cha korani in kitabu kilichokopi mambo karibu yt toka kwenye biblia tu .hainiingii akilini eti korani inaeleza wayahudi kina Ibrahim musa yakobo yusuph hats yesu eti korani inasema hao no waislamu.in uongo wa mchana kweupee lbd mtoto was darasa LA kwanza anaweza amini. Toka uzao was yesu mpk uzao wa Muhammad ni miaka mia tano na sabini ndipo uislamu ulianza sasa hawa kina musa yakobo waliupata wapi?maana ht ibrahimu yakobo yusuph musa na wayahudi was zama hz hawakuwa wakristo walla wayahudi haya in maajabu no uongo na ulaghai .hivi mtoto aliezaliwa mwaka 2005 au 2015.je anaweza kuwa in mwanachama wa tanu?haya ni maajabu ya korani