Visa lottery majibu yametoka

Majibu ya DV 2014 yametoka leo kwa wale walio apply chekini https://www.dvlottery.state.gov/
Best of luck.

Hongera kwa wale wote waliochaguliwa.....nawatakia maandalizi mema ya maisha mapya kwenye nchi ngeni kama mtafanikiwa kupita usaili. Na kwa wale ambao hawakuchaguliwa kipindi hiki (sio walioshindwa) mnayo nafasi nyingine ya kuomba upya wala hakuna haja ya kukata tamaa.
 
Mkuu.@Kang mimi nilikuwa ninaisubiri kujaza sasa ingine itafanyika lini tena?The U.S. Department of State Electronic Diversity Visa Entrant Status Check for Diversity Visa Program for DV- 2014 is available until September 30, 2014. The Entrant Status Check for DV-2013 applicants will remain open until September 30, 2013. au ndio hiyo tarehe ya (September 30, 2013.)?
 
Mkuu nipe pongezi mimi nimepata, ila kwa sasa niko US ninasoma. Nimeangalia kwa tulio US tunaweza kufanya kitu inaitwa adjust status, je hii inachukua mda gani? Nimeona maelezo wananiambia naweza kwenda kwenda local USCIS na kuadjust status yangu, ila kwenye entree nimeona kwamba lazima wanitumie visa namba, je lazima nisubilie au niende? Msaada please i am so excited.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hongera Mkuu. Jaribu kugoogle hiyo USCIS labda unaweza kupata info za kukusaidia unachotakiwa kufanya ili kubadili status yako. Kila la heri.

Heshima kwako mkuu! Kuna jamaa yangu naye amechaguliwa ila sasa alivyoona hizo form za kujaza na kupeleka Kentucky amesita kidogo, tunachopenda kufahamu ni kua hivi hapa kwetu kuna watu wanaoweza kumuelekeza jinsi ya kujaza na mambo gani muhimu ya kuzingatia ili fomu yake isije ikatupwa ikifika huko. Yaani kwa kifupi kama kuna consultant wa hayo mambo au mtu anayefahamu jinsi ya kufanya na hizo fomu.

Asante sana.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mkuu kama jamaa yako yuko Dar mwambie aende ubalozini labda wanaweza kumpa maelezo ya kina nini anachotakiwa kufanya. Na hiyo form anayotakiwa kuijaza mwambie atoe photocopy za kila page anayotakiwa aijaze na aweke vizuri kwa kumbukumbu zake. Kama ni lazima atume hiyo form Kentucky basi hawezi kulikwepa hilo.

Heshima kwako mkuu! Kuna jamaa yangu naye amechaguliwa ila sasa alivyoona hizo form za kujaza na kupeleka Kentucky amesita kidogo, tunachopenda kufahamu ni kua hivi hapa kwetu kuna watu wanaoweza kumuelekeza jinsi ya kujaza na mambo gani muhimu ya kuzingatia ili fomu yake isije ikatupwa ikifika huko. Yaani kwa kifupi kama kuna consultant wa hayo mambo au mtu anayefahamu jinsi ya kufanya na hizo fomu.

Asante sana.
 
Heshima kwako mkuu! Kuna jamaa yangu naye amechaguliwa ila sasa alivyoona hizo form za kujaza na kupeleka Kentucky amesita kidogo, tunachopenda kufahamu ni kua hivi hapa kwetu kuna watu wanaoweza kumuelekeza jinsi ya kujaza na mambo gani muhimu ya kuzingatia ili fomu yake isije ikatupwa ikifika huko. Yaani kwa kifupi kama kuna consultant wa hayo mambo au mtu anayefahamu jinsi ya kufanya na hizo fomu.

Asante sana.

HELO...kama yupo dar....pliz ni PM.. naeza mpa directions.....mi niliaply mwaka 2011...matokeo yalivotoka 2012 nkapita...am waitng my intaview...in two wiks time
 
Hongera kwa wale wote waliochaguliwa.....nawatakia maandalizi mema ya maisha mapya kwenye nchi ngeni kama mtafanikiwa kupita usaili. Na kwa wale ambao hawakuchaguliwa kipindi hiki (sio walioshindwa) mnayo nafasi nyingine ya kuomba upya wala hakuna haja ya kukata tamaa.

Poa....
 
Mkuu.@Kang mimi nilikuwa ninaisubiri kujaza sasa ingine itafanyika lini tena?The U.S. Department of State Electronic Diversity Visa Entrant Status Check for Diversity Visa Program for DV- 2014 is available until September 30, 2014. The Entrant Status Check for DV-2013 applicants will remain open until September 30, 2013. au ndio hiyo tarehe ya (September 30, 2013.)?

Mkuu nasubiri na mimi
 
Heshima kwako mkuu! Kuna jamaa yangu naye amechaguliwa ila sasa alivyoona hizo form za kujaza na kupeleka Kentucky amesita kidogo, tunachopenda kufahamu ni kua hivi hapa kwetu kuna watu wanaoweza kumuelekeza jinsi ya kujaza na mambo gani muhimu ya kuzingatia ili fomu yake isije ikatupwa ikifika huko. Yaani kwa kifupi kama kuna consultant wa hayo mambo au mtu anayefahamu jinsi ya kufanya na hizo fomu.

Asante sana.

sina hakika,lakini nadhani fomu hizo hazina utata wowote ule,cha msingi usidanganye wakati wa kujaza na jitahidi kuwa mkweli,lakini pia kabla hujazituma ni lazima uwe unaqualify ktk swala la elimu ama experience ya kazi,jitahidi kusoma maelezo yao kwanza
Visa Information for Immigrants
 
mimi niliapply ila nmesahau nilisave wap conformation number...hv kuna kuna option nawaza retrieve it?
Msaada wadau....
 
Hii ni interesting wakati wa Tip Tip tulikuwa tunapelekwa kwa minyororo,kwenye hii neo-slavery tunajipeleka wenyewe tena kwa kubembeleza.
 
apa kweli hakuna wazalendo wa nchi,miaka niliyokaa uko sijaona cha maana zaidi ya kufanya kazi kama mtumwa.
 
Nilishaachanaga na huu ujinga wa green card lottery. Process zake hiyo pesa ni mtaji tosha wa kufanya biashara ya mkaa kutoa kimanzicha kuuza Dar. Nitakwenda America kwa holiday viza tu huo ndio msimamo wangu.
 
Man kuna thread ulidai

Mama yako mzungu

Umekaa na kuishi marekani tangu utotoni

Ukadai bado upo marekani ndio maana kiswahili tabu

Axha wajasiria mali tukawe watumwa ulaya ... Tukajaribu maisha na sisi kama wewe ulishindwa
 
Nilishaachanaga na huu ujinga wa green card lottery. Process zake hiyo pesa ni mtaji tosha wa kufanya biashara ya mkaa kutoa kimanzicha kuuza Dar. Nitakwenda America kwa holiday viza tu huo ndio msimamo wangu.

Ongera ...
 
Back
Top Bottom