Mzee wa kusawazisha
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,601
- 1,171
Tayari wamekwisha vamia kwa cyber warfare na wamefanikiwaWewe usituletee propaganda hapa si wavamie wanashindwa nini
Correction kidogo. Majaribio yalikuwa si ya nyuklia.Ni makombora ya kawaidaHabari zinaeleza juhudi Za kumwondoa Kim madarakani zimeanza kuzaa matunda hii ni mara baada ya majaribio kadhaa ya silaha Za nyuklia za Korea ya kaskazini kushindwa na kudondoka bila mafanikio hii ni mara baada ya virus kufanya kazi yake katika mitambo hiyo. Tayar hofu kubwa imeanza kumkabili rais wa Korea ya kaskazini Chanzo ni ALJAZEERA....
Si kweli kombora limefeli tu kwa kawaida na sio kuzuia na marekani...panapo kweli leta hoja sio ushabiki eti cyberwarfare...Tayari wamekwisha vamia kwa cyber warfare na wamefanikiwa
Alaf ndo hawa wanataka vita Kweli khaaSi kweli kombora limefeli tu kwa kawaida na sio kuzuia na marekani...panapo kweli leta hoja sio ushabiki eti cyberwarfare...
Korea hajawahi kusema kuwa anataka vita yeye anasema atajilinda kwa namna yoyote ile kama akishambuliwa au nyie mnasema news zipi zinazosema korea anataka vita???Alaf ndo hawa wanataka vita Kweli khaa
Me nashangaa ni kwa nini hawaoneshi video ya hilo kombora liki fail ili watu waamini kuwa kweli huwa yanaanguka au kulipuka hewani.Kujipa matumaini tu,majaribio ya makombora korea si mwanzo kufail leo huko.
Mbona hata uingereza kombora lilifail mpaka watu wakatakiwa kujiudhuru?
Hilo kombora KN-17 ni jipya na hii ni mara ya tatu linafail lakini wanazidi kupiga hatua ,kutoka kuwa hewani kwa dakika 9 mpaka mara ya mwisho juzi liliruka kwa dakika 15.
Kama marekani angekuwa anaweza kunockisha makombora angeshaingia siku nyingi sana pyoyang
兵者,詭道也。故能而示之不能,用而示之不用,近而示之遠,遠而示之近。Habari zinaeleza juhudi Za kumwondoa Kim madarakani zimeanza kuzaa matunda hii ni mara baada ya majaribio kadhaa ya silaha Za nyuklia za Korea ya kaskazini kushindwa na kudondoka bila mafanikio hii ni mara baada ya virus kufanya kazi yake katika mitambo hiyo. Tayar hofu kubwa imeanza kumkabili rais wa Korea ya kaskazini Chanzo ni ALJAZEERA....
Art of war!.兵者,詭道也。故能而示之不能,用而示之不用,近而示之遠,遠而示之近。
All warfare is based on deception. Hence, when we are able to attack, we must seem unable; when using our forces, we must appear inactive; when we are near, we must make the enemy believe we are far away; when far away, we must make him believe we are near.
Umesema vema Elungata, Lakini inawezekana pia kuwa US wanashindwa kuivamia NK sababu ya kusaka kwanza hali nzuri ya ki dipromasia na washirika wa NK ambao ni CHINA na RUSSIA .Aidha kwa kuwa NK kaahidi kushambulia Washirika wa Marekani ambao ni SK na JAPAN huenda Marekani wamejikuta wanalazimika kuweka mifumo ya kuwakinga na mashambulizi hayo ya NK ili pengine wapate ridhaa ya kutumia ardhi ya nchi hizo kufanya mashambulizi. Vinginevyo sioni sababu ya US kuchelewa kuivamia NK, kwa hali ilipokuwa imefikia.Kujipa matumaini tu,majaribio ya makombora korea si mwanzo kufail leo huko.
Mbona hata uingereza kombora lilifail mpaka watu wakatakiwa kujiudhuru?
Hilo kombora KN-17 ni jipya na hii ni mara ya tatu linafail lakini wanazidi kupiga hatua ,kutoka kuwa hewani kwa dakika 9 mpaka mara ya mwisho juzi liliruka kwa dakika 15.
Kama marekani angekuwa anaweza kunockisha makombora angeshaingia siku nyingi sana pyoyang