Tarakilishi
JF-Expert Member
- May 19, 2013
- 2,181
- 2,448
Nimekuelewa vyema sana mkuu, ni ufafanuzi mzuri hata kwa layman asiyejua mambo ya ICT. Leo nimejifunza kitu kinaitwa S.No. tulishazoea IMEI tu kumbe serial number ni muhimu pia.OK nimekuelewa sasa, simu zenye lain mbili ni ngumu kutengeneza kama zikiharibika S.No. kwani inayoonekana kwenye simu ni S/No. Moja Mfano ukifungua HTC Phone Identity zenye line mbili utakuta Device Serial No. FA43AWH01009 AMBAYO INA imei sv1 NA SV2 Lakini S/No. ni moja tu, IMEI mojawapo Ikiharibika ikaenda IMEi 00000444400044 wakati wa kutengeneza ku-rebuild imei, unaweza ikawa ngumu kwa kuwa S/No. ya SImU ya pili imefichwa, ivyo usishangae simu line moja ikawa nzima laini ya pili ikagoma unachoshauliwa ni lazima ujue Ni CID ya Nchi gani ili uhapgrade original RUU.