Vipimo vya HIV, Determine Early Detect naweza kuvipata wapi?

The Evil Genius

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
6,002
19,433
Wakuu, naomba msaada wa kupata vipimo vya HIV vinaitwa Determine Early Detect. Nikimaanisha ni famasi gani ama hospitali gani naweza kuvipata.

Natanguliza shukurani zangu za dhati kabisa.

Ahsante.
 
Ni juzi tu wametoka kupiga kelele eti vinatumika vibaya sa sijui Kama utapata kwa kuulizia sahz ishakua nyala za serikali
 
Nilizunguka huu mji ninaoishi hadi nikavipata ila sasa aliyeniuzia havikuwa pale dukani/pharmacy ikabidi nikalishwe 10mins kuvisubiri vitoke mafichoni.

Unapatikana wapi?
 
Kama umewala usijal dawa ninayo mwez mmoja tu unapona 0712505049 tunatibu kimya kimya hatutaji publicity
 
Back
Top Bottom