Vipi kuhusu hii bodi ya mikopo 2016

Heslb bado hawajafungua dirisha la kupokea maombi ni vema kupitia website yao na sio kusikiliza maneno ya kuambiwa.....
 
namba za bodi hizi hapa: 0763459165 & 0754373481 wapigieni na nyie wenzangu tusikie wanasemaje kuhusu application za mikopo maana mwaka huu wamechelewesha na vijana wanatakiwa kwenda JKT kuanzia tarehe 1-5 june.
 
Back
Top Bottom