Pagan Amum
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 1,932
- 4,396
Hahahaha.. Nahisi hii game ya leo hata Joshua au Wilder asingewezaMkuu umewahi kusikia mashindano ya ngumi Zenji?!!
Mleta uzi acha mzaha Sadifa na Shaka wana " ulijali" wa kupigana ngumi kweli?!!!........ Au wamesutana baada ya kutoelewana!!!
Kabisa. Na hao vijana wanaoendekeza rushwa wanajidanganya. Magufuli anajua kuwa UVCCM ya sasa ni ovyo tokea tupate Uhuru. Na alishasema hili akiwa Kigamboni...Hizi sio zama za kikwete,Magufuli atafyeka majina yote hayo
Uliza Swali MkuuKwa nini?. Mtoto sio rizki nini?
Hahahaha uchochezi huo MkuuUliza Swali Mkuu
Hahahahahaha kweli kazitunayoUyo aliyekua mwali uko mombasa ata kidole anaweza kunyoosha kwel
Nyie ndio mnataka kuendelea kuharibu jumuiya. Kizigo ana uwezo upi?.. Tuacheni mzaha... Personality yenyewe ya kuwa Mkt. Hana... Infact UVCCM kumpa mwanamke uenyekiti bado sanaMi nipo upande wa SOPHIA KIZIGO
Mi nipo upande wa SOPHIA KIZIGO
Mi nipo upande wa SOPHIA KIZIGO
kwaajili ya KIZIGO chake tu sio kingineNyie ndio mnataka kuendelea kuharibu jumuiya. Kizigo ana uwezo upi?.. Tuacheni mzaha... Personality yenyewe ya kuwa Mkt. Hana... Infact UVCCM kumpa mwanamke uenyekiti bado sana
Uko sahihi kabisa. Kipara ni 34 ila kafoji umri na kuonyesha ni 30... Inasemekana ndio mgombea wa moja wa Mkuu wa Mkoa wa moja ya jijiHivi Kipara bado anagombea UVCCM? Huyu tulikula kitimoto pale Survey enzi hizo nipo first year huku yeye akiwa third year! Bila shaka amefoji umri ingawa nasikia na Shaka naye ni mambo shaka mubashara au mtoto wa watu!