Viongozi wa UVCCM Taifa; Sadifa & Shaka wachapana ngumu Kikaoni

Hizi sio zama za kikwete,Magufuli atafyeka majina yote hayo
Kabisa. Na hao vijana wanaoendekeza rushwa wanajidanganya. Magufuli anajua kuwa UVCCM ya sasa ni ovyo tokea tupate Uhuru. Na alishasema hili akiwa Kigamboni...

Majina hayo yatafyekwa vibaya sana
 
Hivi Kipara bado anagombea UVCCM? Huyu tulikula kitimoto pale Survey enzi hizo nipo first year huku yeye akiwa third year! Bila shaka amefoji umri ingawa nasikia na Shaka naye ni mambo shaka mubashara au mtoto wa watu!
 
Uko sahihi kabisa. Kipara ni 34 ila kafoji umri na kuonyesha ni 30... Inasemekana ndio mgombea wa moja wa Mkuu wa Mkoa wa moja ya jiji
 
Back
Top Bottom