Kama nihivyo wasiweke ratiba sasa ka wanashindwa kuifata, muhimu ratiba ifuatweDah.. Mungu ndio amekupa uhai, kazi, watoto, biashara.. shule.. unavihangaikia hivyo kwa siku sita tena kwa uaminifu..
Yani siku moja.. tena masaa machache.. ujihudhurishe kwake kumshukuru, kumsifu na kusikia neno lake unaona kazi sana.. wakati yeye alikuwa na wewe wiki nzima ulipokuwa umelala na ulipokuwa unafanya kazi.. amekulinda, amekufanikisha.. n.k
Kweli wafu wakifufuliwa na watasema..
Ila makanisa ya mwendo kasi si yapo.. mnashindwa nini kuhamia?
Ndugu usiamini dini, kwani dini haiokoi anayeokoa ni Yesu Kristo baada ya kumwamini na kujazwa Roho wake na kuishi sawasawa na Neno lake.Cha kushangaza hata hao waliotuletea ili kututeka "in heart and mind" wanajali muda kulivyo, misa haizidi saa aisee...hizi dini kasheshe...
Mmmh,wenye dini wameacha kusali.sisi na umaskini wetu tuko bize for nonsenseKwenye imani usiiruhusu akili iiongoze roho.
Roho ndio huiongoza akili.
Hiyo ni kanuni.
Imani kwa wazungu imeshafeli!!
Wanakimbizana na uchumi wanapuuza kama mpuuzi mwingine yeyote maneno ya Mungu "Dunia na vyote viijazavyo ni mali yangu" asema Bwana.
Kiburi cha uzima kimekusukuma kuandika uzi huu.
Mmmh,wenye dini wameacha kusali.sisi na umaskini wetu tuko bize for nonsense
huyo mungu unaemnukuu anamiliki dini mithili ya kina kakobe na tb joshua?Chapter (9) sūrat l-tawbah (The Repentance)
O you who believe! Verily, there are many of the (Jewish) rabbis and the (Christian) monks who devour the wealth of mankind in falsehood, and hinder (them) from the Way of Allah (i.e. Allah's Religion of Islamic Monotheism). And those who hoard up gold and silver [Al-Kanz: the money, the Zakat of which has not been paid], and spend it not in the Way of Allah, -announce unto them a painful torment.
Tupo mpendwa, tunafuatilia kimyakimya.Walokole mpoooo
Muwakumbushe kwaombea na wagonjwa na wenye shida siyo jpm tu.Mara ingine utakuta tumuombee katikati ya misa jpm,what a wastage of time
Wakiwa kwao lakini ukiwakuta thailand wanajirusha hawajali time,mimi nimewashudia wakiwaonea wivu wahadzabe huku wakisema "simple life"ndio inayowakuna zaidi.no bills no tax no stress.Nimefundishwa na Mwalimu mmoja toka SWEDEN, acha tu Wazungu wanajali muda sana.
hayo ndio wanayoharakia wakifanya wako bizeeesiku ya juma pili ni siku ya kupumzika nyumbani kwa Mungu ww unataka Kuwai ili ukapumzike bar
Mimi nawashauri tuu ukiona muda wako ni mchache/uko bize sana usiende kwa sababu ni hiari sio lazima, na inaonekana wengi wanaenda kuonekana kwa pasta/padree kwamba wamehudhuria ili wasipate usumbufu wakati wa kufunga ndoa, kubatiza watoto au kwenye mazishi lakin sio kumuabudu Mungu, sasa mtu anaposema eti matangazo yamezidi wakati siku ya kukutana ni siku moja au mntaka hayo matangazo wawaletee kupitia watsap, kufanya usafi ni sehem ya huduma kanisani, kuna watu wanabarikiwa kwa hilo tu, mimi kanisani kwetu ibada huwa ndefu siku za ubatizo na kipaimara tu hizo zingine ni kawaida, dah! wengine wanaona et kwaya ni mbwembwe jamani!