Viongozi wa dini wataka Uchaguzi Serikali za Mitaa uahirishwe.

Ivi ukiona unaomba halafu maombi yako hayajibiwi vile unavyotaka shida ni ya nani? Ya ww muombaji au yule unaemuombea? Tafakari
 
Huyu Munga kwanini Asiseme wazi yeye ni Mwanasiasa wa mlengo fulani???Kwa kiongozi wa dini mwenye busara mwenye kuhakisi asemacho alitakiwa kwanza awasiliane na Jafo amuulize hiki ambacho ameamua kutumia mitandao kufikisha ujumbe wa swali lake kwa Jafo...Huu ni upuuzi kwa kiongozi wa dini kutafuta umaarufu wakupost kila linalokuja kichwani kwake....
Ebu nyie viongozi wa dini mnaotumia mitandao kwenye mambo ya kidunia jifunzeni kwanza kuongea na waumini wenu pale mnapoona wamekosea na pindi mnaposhindwa kuelewana ndio muje kuwashtaki huku kwetu na si kukuambia kuandika mitandano kufanya hivi ni kujionyesha mna chuki tu binafsi au Maslahi binafsi
 
FB_IMG_1573390002377.jpg

FB_IMG_1573405233565.jpg
 
Nadhani kiburi cha uzima kinakusumbua, lakini Mungu atakupiga pigo moja tu. Hayo yote ulioyasema utayakataa.
Huyu Munga kwanini Asiseme wazi yeye ni Mwanasiasa wa mlengo fulani???Kwa kiongozi wa dini mwenye busara mwenye kuhakisi asemacho alitakiwa kwanza awasiliane na Jafo amuulize hiki ambacho ameamua kutumia mitandao kufikisha ujumbe wa swali lake kwa Jafo...Huu ni upuuzi kwa kiongozi wa dini kutafuta umaarufu wakupost kila linalokuja kichwani kwake....
Ebu nyie viongozi wa dini mnaotumia mitandao kwenye mambo ya kidunia jifunzeni kwanza kuongea na waumini wenu na pindi mnaposhindwa kuelewana ndio muje kuwashtaki huku kwetu
 
Mbona una overreact mkuu ? Munga ni kiongozi wa dini lakini pia ni raia , na kuwa kiongozi wa dini hakuondoi haki zako kama raia. Chaguzi za serikali za mitaa zimekuwa zikifanyika kila baada ya miaka 5 , lakini yanayoendelea sasa hayajawahi shuhudiwa. Leo kiongozi wa serikali anasimama anasema majina yamekatwa kwa mujibu wa sharia na kanuni za uchaguzi, kesho mtu yuleyule anageuka tena anasema yamerudishwa.
 
Huyu Munga kwanini Asiseme wazi yeye ni Mwanasiasa wa mlengo fulani???Kwa kiongozi wa dini mwenye busara mwenye kuhakisi asemacho alitakiwa kwanza awasiliane na Jafo amuulize hiki ambacho ameamua kutumia mitandao kufikisha ujumbe wa swali lake kwa Jafo...Huu ni upuuzi kwa kiongozi wa dini kutafuta umaarufu wakupost kila linalokuja kichwani kwake....
Ebu nyie viongozi wa dini mnaotumia mitandao kwenye mambo ya kidunia jifunzeni kwanza kuongea na waumini wenu pale mnapoona wamekosea na pindi mnaposhindwa kuelewana ndio muje kuwashtaki huku kwetu na si kukuambia kuandika mitandano kufanya hivi ni kujionyesha mna chuki tu binafsi au Maslahi binafsi
punguza jazba alafu tulia sindano ikuingie vizuri.
 
Mbona una overreact mkuu ? Munga ni kiongozi wa dini lakini pia ni raia , na kuwa kiongozi wa dini hakuondoi haki zako kama raia. Chaguzi za serikali za mitaa zimekuwa zikifanyika kila baada ya miaka 5 , lakini yanayoendelea sasa hayajawahi shuhudiwa. Leo kiongozi wa serikali anasimama anasema majina yamekatwa kwa mujibu wa sharia na kanuni za uchaguzi, kesho mtu yuleyule anageuka tena anasema yamerudishwa.
Hapa kinachotakiwa ni yeye kutimiza wajibu wake kama kiongozi wa dini na si kuja hadharani na kumshitaki muumini wake ili hali hajamsikiliza
 
Huyu Munga kwanini Asiseme wazi yeye ni Mwanasiasa wa mlengo fulani???Kwa kiongozi wa dini mwenye busara mwenye kuhakisi asemacho alitakiwa kwanza awasiliane na Jafo amuulize hiki ambacho ameamua kutumia mitandao kufikisha ujumbe wa swali lake kwa Jafo...Huu ni upuuzi kwa kiongozi wa dini kutafuta umaarufu wakupost kila linalokuja kichwani kwake....
Ebu nyie viongozi wa dini mnaotumia mitandao kwenye mambo ya kidunia jifunzeni kwanza kuongea na waumini wenu pale mnapoona wamekosea na pindi mnaposhindwa kuelewana ndio muje kuwashtaki huku kwetu na si kukuambia kuandika mitandano kufanya hivi ni kujionyesha mna chuki tu binafsi au Maslahi binafsi
Yaani kiongozi wa dini aache kusema ukweli kisa kuwapendezesha wakiukaji wa demokrasia, sheria, haki za binadamu, waliovuruga uchaguzi. Wewe kama hupendi Askofu kusema ukweli ni wewe ila ukweli umesemwa na Baba askofu kajitenga na maaskofu uchwara waliojiunga kumsifu na kumuabudu shetani wa kinyarwanda.
 
Mheshimiwa waziri, kwa kauli hizo mkanganyiko unazotoa kwa niaba ya serikali; ungependa sisi tunaoombea nchi tuombee lipi katika hayo uliyoyasema?! Mungu anapenda haki kuliko sadaka.
Kwani yeye askofu alitaka aombe kipi?Kwani kanisa linapangiwa cha kuomba?je Mungu hajamfunulia cha kuomba ,au hekima,busara na maatifa yake hayajamuonesha aombe kipi?
 
Hapa kinachotakiwa ni yeye kutimiza wajibu wake kama kiongozi wa dini na si kuja hadharani na kumshitaki muumini wake ili hali hajamsikiliza

Ukweli kama ukweli huwa unauma, hivyo hiki kilio chako ni cha kudhihirisha jinsi gani umeumizwa na ukweli wa baba askofu.
 
Back
Top Bottom