AlifanyajeViongozi wa Dini hasa Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) na Jumuiya ya Walutheran watoe WARAKA mzito..
Mtu avurugikiwe apige tiktak kama pale Ikwiriri hivi karibuni.
Mtu kupiga TIKTAK hukuisikia pale Ikwiriri/Somanga..??!Alifanyaje
Hilo sawa ila "who to bell the Cat?".......Hao Viongozi Wa Dini Kwanini Wasingekemea Mapema Zile Hujuma Ambazo Zilionekana Kabla Ya Hata Mchicha Haujawa Mbuyu?.
Tanzania tuna viongozi wa dini?!!
Mimepoteza Imani na hao viongozi wa dini!
hilo ndilo tatizo lililopo, tena sio ajabu hao viongozi hayo wanayo yasema kesho Wakayakana.Hilo sawa ila "who to bell the Cat?".......
Usimfananishe mtu wa Mungu Sauli (Paulo) na ushetani.Magufuli ni Sauli wetu, Mungu anaenda kutupatia Daudi wetu muda si mrefu
Ndio, tuna viongozi wa dini tena wengi sana, tuliokosa ni viongozi wa kiroho, wako wachache sana kama Askofu Shoo, Askofu Bagonza, Askofu Mwamakula, Askofu Jimbo kuu la Tanga, Askofu jina linaishia nyigwemizi, Shekhe kiongozi wa kikundi cha uamsho unaona jinsi walivyo wachache nimeshindwa hata kuweka n.kTanzania tuna viongozi wa dini?!!
Kiongozi wa dini anashinda kwenye majukwaa ya wanasiasa!
Waondoe BakwataTEC,CCT,BAKWATA na wengine watoe tamko mapema si busara kukaa kimya dhuluma ikitamalaki.
Tanzania tuna viongozi wa dini?!!
Kiongozi wa dini anashinda kwenye majukwaa ya wanasiasa!
Kakobe na Gwajima walikuwa wajumbe wa CC ya Chadema!Ccm ndio huwa inawatumia viongozi wa dini kuhadaa umma kuwa inamjali Mungu, ndio maana eti siku hizi kila shughuli ya serikali viongozi wa dini wanaitwa kuomba. Siku zote huwa najua ule ni unafiki wa hali ya juu. Naona sasa hii viongozi wa dini wako kinyume na matendo ya ibilisi mnawatukana.
Sio Sauli yule Paulo ila ni Sauli wa agano la kale yule aliyekuwa anataka kuitoa roho ya Daudi(Lissu) ila akashindwa kwa nguvu za Mungu na baadae huyo Daudi(Lissu) ndiye akaja kuwa mfalmeUsimfananishe mtu wa Mungu Sauli (Paulo) na ushetani.