"WATATOKA...NA WATARUDI..." Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia Bunge
Tegeta hatuna watu wenye upuuzi kama huu. Pengine ndiwe uliyetumwa kuchakachua kura wakati wa uchaguzi?Hata sisi makada wa CCM tuliukubali uchaguzi wako kwa roho moja. Knowing you are independent mind, and you will go to bunge and bring Kawe improvements and also creating legislations that will improve maendeleo ya nchi yetu kwa ujumla. Halima, wewe bado mchanga katika siasa zetu, hata hivyo umeonyesha uwezo mkubwa tu wa kufikiria na kuchanganua mambo.
Umekwenda bungeni tukijua kwamba ili uweze kuleta mabadiliko uliyoyaongea sana kwenye kampeni zako inabidi ufanye kazi bega kwa bega na wabunge wenzako pamoja na watendaji wa serikali. Ulivyoapishwa kuwa mbunge ulikubali kulitumikia taifa kwa misingi ya katiba yake. Na ukamuomba Mola akusaidie. Sisi tulipata faraja sana, kuona mbunge kijana na mwanamama akituwakilisha, ukiachilia mbali itikadi zetu tofauti za kisiasa.
Halima, umekwenda bungeni baada ya wiki moja tu, hatukuelewi vizuri. Umeapa kufanya kazi na serikali hii lakini jana umefuata mkumbo na kutoka kwenye hutuba ya Raisi. Kwa sisi wakazi wa Kawe, kuwalk out sio tatizo. Tatizo ni unafiki wa hicho kitendo, juzi uliapa kuwa mbunge knowing kwamba lazima ufanye kazi na serikali hii. Pia utaanza kutimiza ahadi zako ulizotuahidi. Lakini, pia unasema kwamba humtambui Rais Jakaya. Halima, unatuchanganya huku jimboni. Miaka 5 ni mingi, na kama utakuwepo bungeni kufanya hii michezo ya kuigiza kwa kipindi chote, nadhani utakuwa unapoteza sana potential yako. Kwa sisi tunaokujua, tunaamini kabisa kwamba umeshindwa kwenda kinyume na uongozi wa chama chako. Lakini hilo haswa ndio linalotuogopesha, kushindwa kufuata misingi yako kwa sababu ya shinikizo la uongozi wa Freeman na mwenziwe Willbrod.
Huku Kawe ni wewe pekee utayekuwepo kwenye ballot hapo 2015. Na sisi wana Kawe tutakukumbuka kwa yale uliyojenga na sio kubomoa. Mpaka dakika hii, hujajenga hata moja, na unabomoa misingi ya ushirikiano with your number one partner in development of Kawe, serikali ya CCM.
Ni hayo tu, karibu Tegeta.
Selemani.
Hata sisi makada wa CCM tuliukubali uchaguzi wako kwa roho moja. Knowing you are independent mind, and you will go to bunge and bring Kawe improvements and also creating legislations that will improve maendeleo ya nchi yetu kwa ujumla. Halima, wewe bado mchanga katika siasa zetu, hata hivyo umeonyesha uwezo mkubwa tu wa kufikiria na kuchanganua mambo.

Kwani wanalipwa na CCM au kodi inakusanywa kutoka kwa wanaCCM elfu tano peke yao. Elewa hiyo kodi imetoka kwa watanzania milioni 40 ikiwemo yangu, leta hoja za busara.Wadau nimepata tetesi kuwa Wabunge wa Chadema wana mpango wa kususia mishahara na posho za bunge kwakuwa zinatokana na kodi inyokusanywa na serikali wasioitambua. kwa kifupi jamaa hawataki waonekane "baniani mbaya kiatu chake dawa"
Kwa kweli wakifanya hili nitawaona wamekomaa sana kidemokrasia wawakilishe wananchi bila kujali pesa naamini hilo linawezekana.
mama mdogo hiyo ni quote. Quotes hazifanyiwi marekebisho.
Inawezekana hii habari haijakufurahisha, ila ni vyema kupata habari zote zilizopo.
Utingo nimekupa senkisi naomba uniruhusu niitumie kwenye signature yangu.wewe ni mmoja wa wale ambao waingereza wanasema..."Many people are alive only because it is illegal to shoot them"
Kumbe Sokomoko? Basi haina tija, bali ni uchochezi tu.............!Wadau nimepata tetesi kuwa Wabunge wa Chadema wana mpango wa kususia mishahara na posho za bunge kwakuwa zinatokana na kodi inyokusanywa na serikali wasioitambua. kwa kifupi jamaa hawataki waonekane "baniani mbaya kiatu chake dawa"
Kwa kweli wakifanya hili nitawaona wamekomaa sana kidemokrasia wawakilishe wananchi bila kujali pesa naamini hilo linawezekana.
wamechaguliwa na wananchi, hivyo wana haki zote kuchukua ngawira zao bila kujali zinatoka wapi, vile vile wao wapo kwenye mhimili mwingine
WE UNAHISI MAALIMU SEIF HAKUFANIKIWA.... MAFNIKIO YAKE NI SERIKALI YA MSETO... NANI ALIYEWEZA KUFIKIRIA ZANZIBAR ITAKUWA HIVYO...
YEYE KWELI NI RAIS WA NEC- SILAA NI RAIS WA WANANCHI TUTAONA KATI YA HAWA NANI ANAHESHIMIKA NA KUTAMBULIKA ZAIDI....:smile: