MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 27,778
- 30,749
Mmekosa hojahao watoto wa mama wa hapo uswahilini na CDM wapi na wapi?
CCM mmeingizwa mjini.
Mnahali Mbaya kwasasa
Chama kimebaki kinalindwa na VILAZA
Mmekosa hojahao watoto wa mama wa hapo uswahilini na CDM wapi na wapi?
CCM mmeingizwa mjini.
Mtoto mdogo kama Ali hawezi leta shida ufipa,hali mbaya Lumumba kumtimua Christopher chiza uanachamaHali nimbaya ufipa
Hawa kuambiwa ukweliIla ki ukweli ukitaka upate katibu mwingine kama Dr Slaa kwa Chadema huwezi kupata labda kidogo angekuwepo Zitto . Tukubali huo ukweli kwamba Mbowe ameshampoteza mtu muhimu lazima aanze kujenga upya.
Hahaaaa, kwa Dr. Magu mtakaa tu. 2020 mzee wa Kunyea atazidisha haja zake.Chadema nao wajanja wameanza kuweka pandikizi ili wapate nyeti za ccm
Mnawakati mgumu sanaMtoto mdogo kama Ali hawezi leta shida ufipa,hali mbaya Lumumba kumtimua Christopher chiza uanachama
Haya sasa majungu yasiyokuwa na mbele wala nyumba...wakati wako viongozi wenu walikuwa ni makamanda na majemedari wa jeshi lenu, leo Ally Bonge amehama Chadema na kujiunga CCM anaambiwa ni mla mirungi, mvivu na anayetegemea urithi.Kwa faida ya jamvi hao wote unaowaona wanatokea kata ya Kati ambayo CCM walishinda kati ya kata kumi na tisa.Sifa ya kata ya kati ni kama ifuatavyo.
1.Vijana wengi hawataki kufanyakazi muda mwingi wapo kwenye vibaraza wanapiga story za Yanga na Simba wakichoka wanaazisha story za Manchester na Chelsea.Mwisho wanahamia siasa za CCM na CDM.
2.Vijana wengi wa kata ya kati ni watumiaji wa Mirungi.Mchana wanalala usiku wanaamka na kuanzisha zoezi la kutafuna mirungi.
3.Vijana wengi wa Kata ya Kati wanategemea kodi ya nyumba za urithi.Mfano Ally Kaole Marehemu Baba aliwakuwa diwani wa kata hiyo kwa miaka mingi.Kazi kubwa ilikuwa kuwatoa wauza mirungi na wala mirungi kila wanapokamatwa.
4.Vijana wengi wanategemea mgao wa mauzo ya viwanja na kupelkea kubweteka.
Itakula kwenuDuh hao walikuwa CCM siku nyingi sana.Pili kwani kuna ubaya mtu akihama chama??Mie sioni shida,nawatakia hao wawili kila la heri.Mie nilidhani Arusha wamehamia CCM kumbe hao UVCCM wa siku nyingi....................
hivi zzk yuko kona gani siku hizi kile chama bado kina survive?Umaarufu wa Zitto ulimpatia jimbo moja katika uchaguzi uliopita. Uzembe wa Chadema wa kumwondoa Zitto umewapa majimbo mangapi?
Itakuwa kwenu
Mtajuta kuingiza kirusi Lowassa
Hesabu za ZUZU..,siku moja zuzu alikuwa yuko safarini akafika katika mji, akawekewa sahani mbili za chakula, moja ina sumu nyingine haina. Akaambiwa ukila sahani hii ina sumu utashiba kwa sababu chakula hiki ni kingi lakini utakufa baada ya muda mfupi, na sahani hii nyingine haina chakula cha kutosha hautoshiba ila utaweza kuendelea na safari..ZUZU akatabasamu, akasema nipeni chakula kingi nile nishibe..akala na kuendelea na safari yake lakini alikufa mita chache kabla hajafika mwisho wa safari..Umaarufu wa Zitto ulimpatia jimbo moja katika uchaguzi uliopita. Uzembe wa Chadema wa kumwondoa Zitto umewapa majimbo mangapi?
Haya sasa majungu yasiyokuwa na mbele wala nyumba...wakati wako viongozi wenu walikuwa ni makamanda na majemedari wa jeshi lenu, leo Ally Bonge amehama Chadema na kujiunga CCM anaambiwa ni mla mirungi, mvivu na anayetegemea urithi.
Mambo ya kijinga sana nyie watu mnazushiana, kuhama Chama sio Uadui ni maamuzi tu ya mtu, acheni hizo mambo.
Mtajuta kununuliwa na JiziMliowaingiza kwenu imekuwaje??Wezi na Majangili wapo huko kwenu mpaka mzee wa watu amebaki kuduwaa tu.Maana Majamabzi mengine yamekuwa mpaka Mwenyekiti wa Bunge ati na yeye anasema atapasua JIPU,mwambieni apasue la kwake la Escrow
Kwani ni lazima umuunge mkono wewe..,we ni nani hata ujisifu kuwa sijawahi kumuunga mkono, au wewe ndio kipimo cha ubora wa mtu..kwamba kuungwa mkono na wewe ni endorsement..??? Acha ukuda.Tulia kijana ukweli ndio huo Alli Bonge akiwa CDM ni jipu kahamia CCM ni jipu nyumba za mtaa wa Kati zinazidi kupungua mambo ya kiswahili swahili yanadizi kupungua siku hadi siku.Sijawahi hata siku moja kumuunga Ally bonge mkono.
Mtajuta kununuliwa na Jizi
Nivilaza pekee watabaki kuishabikia cdm
Kwani ni lazima umuunge mkono wewe..,we ni nani hata ujisifu kuwa sijawahi kumuunga mkono, au wewe ndio kipimo cha ubora wa mtu..kwamba kuungwa mkono na wewe ni endorsement..??? Acha ukuda.