GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,949
- 119,214
- Thread starter
- #21
Yanga is doing a good job..siipendi lakini nai support
Jitakase na tubu kwa UNAFIKI.
Yanga is doing a good job..siipendi lakini nai support
sasa mkuu yanga wanajitahidi sio timu ya hanspopeJitakase na tubu kwa UNAFIKI.
sasa mkuu yanga wanajitahidi sio timu ya hanspope
Kumbe wewe ni mbumbumbu namna hii,ata nilikua sijui.
bora niwe mnafiki kwa kusema ukweli kuliko kushabikia upuuzi wa kina aveva...naipenda simbaSimba wa kweli hawi MNAFIKI kama ulivyo. Badilika bado hujachelewa!
Uzi kama huu ndo huwa unakushusha hadhi sana,lengo kuu la michezo hapa duniani ni kuleta umoja na upendo.Wewe unahubiri chuki kwasababu ya rangi za 'JEZI' eti?...bure kabisa wewe.Usaliti ni kitu kibaya sana na nikiyakumbuka na kuyanukuu maneno " kuntu " kabisa ya Msemaji wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania Kanali Ngemera Lubinga kuwa namnukuu " sadism is inevitable when the situation is alarming " mwisho wa kumnukuu na kwa Kiswahili kizuri tu alimaanisha kuwa " ukatili hauepukiki endapo mazingira yatakuwa ni hatarishi ".
Katika hali isiyokuwa ya kawaida kabisa na kama vile kuitia nuksi / shombo Simba Sports Club kwani miiko ya Kale na ya Babu zetu ilikataza kabisa leo Wanachama baadhi wa Simba wakiongozwa na MNAFIKI namba moja Klabuni Msimbazi Mzee Mwaulanga walikwenda Klabuni kwa Yanga pale pale Kaunda huku wakiwa wamevalia Jezi kabisa za Simba na kuhudhuria Press Conference ya Yanga na kwa bahati mbaya sana ilikuwa inaongozwa na ADUI namba moja wa Simba " Mropokaji Mkurupukaji " wa Yanga.
Hakuna dhambi kubwa na mbaya kama Mwanachama wa Simba kwenda kukaa Klabuni kwa Yanga tena na Jezi ya timu huku akiisifu Yanga na kuwasifia Wachezaji wa Yanga.
Enyi Viongozi wa Simba fukuza upesi na haraka sana hawa Wanachama na hasa hasa huyu Mzee Risasi Mwaulanga na mkitaka kuwajua ni rahisi sana kwani wameonekana katika tv zote na picha zao zikienea mitandaoni.
Na kwa taarifa za chini chini zinasema kwamba huyu Mzee na hao Mashabiki wa Simba alioongozana nao leo asubuhi walienda kwa " Gabachori " la Yanga barabara iendayo kupanda " mbung'o " JNIA na kila mmoja kupewa kiasi cha Shilingi laki moja moja ili tu waende Klabuni kwa Yanga na kuyasema hayo waliyoyasema huku Mzee Mwaulanga akipewa Shilingi laki tano taslimu.
Nitoe tu wito na angalizo KALI kuwa kama kweli Wewe ni Mwana Simba tena " lia lia " Kesho ni mwiko na hakuna kuishangilia Yanga hata iweje na kuna kamera maalum Wana Simba tutazifunga pale Taifa ili kuwamulika wale wote watakaoshangilia Yanga au kuvaa mijezi ya Yanga na ukionekana tu Kesho kutwa tunaitisha Mkutano wa dharura na tunawafukuzeni uanachama wote na hata ukijifanya kuuchuna usoni na kushangilia " kimoyo moyo " bado hizi Kamera zetu maalum zinauwezo wa kuusoma moyo na hisia za Mtu hivyo zitakurekodi tu utaicha Kadi ya uanachama wa Simba pale pale Taifa mpira ukimalizika.
Vaeni nguo za TP Mazembe na kama huna Jezi yao basi " tinga " tu Jezi ya " mnyama mnyamani " Simba Sports Club na uingie nayo kwani kuishangilia Yanga au kuipenda Yanga ni sawa sawa na kumpenda Shetani au kukumbatia bomu la kujitoa muhanga la ISIS au Boko Haram.
Matokeo ambayo mpaka dakika hii naandika huu UZI ninao ni TP Mazembe 5 na Yanga 1 ila kuna mchezaji mmoja wa Yanga kati ya Beki au Fowadi atapewa Kadi Nyekundu ila kuna uwezekano wa Mchezaji wa Timu moja wapo KUUMIA vibaya wakati wa mchezo lakini kama haitoshi kutakuwa pia na ngumi mbili tatu nne hivi zitapigwa hasa pale VIP B wanapokaa mashabiki wa Simba na Yanga ila Police wataingilia japo kuna Mashabiki kama wawili hivi wa Yanga watang'olewa meno ya sebuleni kwa aina ya Ngumi kali na nzito ambazo " watatandikwa " na Mashabiki wa Simba. ( Yote haya nimehakikishiwa na " Babu " / " Mtaalam " ).
Kwa taarifa yako simba jike ni mkali kuliko simba dumeHata hivyo kama tujuavyo kuna Simba MADUME na Simba MAJIKE hivyo basi Simba DUME wote Kesho watafuata haya niliyoyasema na Simba JIKE mliobaki mtawasaidia Yanga.
simba dume kila cku linapigwa!!!!litakuwa si rizkiHata hivyo kama tujuavyo kuna Simba MADUME na Simba MAJIKE hivyo basi Simba DUME wote Kesho watafuata haya niliyoyasema na Simba JIKE mliobaki mtawasaidia Yanga.
Mwaka huu watanyooka tu... Sindano inaendelea kuchomabado muro ataendelea kukutesa mkuu,kesho mazembe anakufa na hutaamini ,mikia losers
Kwa utabiri huu wa babu,hamna haja ya kwenda uwanjani Kwani mpira ushachezwa tayari.Usaliti ni kitu kibaya sana na nikiyakumbuka na kuyanukuu maneno " kuntu " kabisa ya Msemaji wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania Kanali Ngemera Lubinga kuwa namnukuu " sadism is inevitable when the situation is alarming " mwisho wa kumnukuu na kwa Kiswahili kizuri tu alimaanisha kuwa " ukatili hauepukiki endapo mazingira yatakuwa ni hatarishi ".
Katika hali isiyokuwa ya kawaida kabisa na kama vile kuitia nuksi / shombo Simba Sports Club kwani miiko ya Kale na ya Babu zetu ilikataza kabisa leo Wanachama baadhi wa Simba wakiongozwa na MNAFIKI namba moja Klabuni Msimbazi Mzee Mwaulanga walikwenda Klabuni kwa Yanga pale pale Kaunda huku wakiwa wamevalia Jezi kabisa za Simba na kuhudhuria Press Conference ya Yanga na kwa bahati mbaya sana ilikuwa inaongozwa na ADUI namba moja wa Simba " Mropokaji Mkurupukaji " wa Yanga.
Hakuna dhambi kubwa na mbaya kama Mwanachama wa Simba kwenda kukaa Klabuni kwa Yanga tena na Jezi ya timu huku akiisifu Yanga na kuwasifia Wachezaji wa Yanga.
Enyi Viongozi wa Simba fukuza upesi na haraka sana hawa Wanachama na hasa hasa huyu Mzee Risasi Mwaulanga na mkitaka kuwajua ni rahisi sana kwani wameonekana katika tv zote na picha zao zikienea mitandaoni.
Na kwa taarifa za chini chini zinasema kwamba huyu Mzee na hao Mashabiki wa Simba alioongozana nao leo asubuhi walienda kwa " Gabachori " la Yanga barabara iendayo kupanda " mbung'o " JNIA na kila mmoja kupewa kiasi cha Shilingi laki moja moja ili tu waende Klabuni kwa Yanga na kuyasema hayo waliyoyasema huku Mzee Mwaulanga akipewa Shilingi laki tano taslimu.
Nitoe tu wito na angalizo KALI kuwa kama kweli Wewe ni Mwana Simba tena " lia lia " Kesho ni mwiko na hakuna kuishangilia Yanga hata iweje na kuna kamera maalum Wana Simba tutazifunga pale Taifa ili kuwamulika wale wote watakaoshangilia Yanga au kuvaa mijezi ya Yanga na ukionekana tu Kesho kutwa tunaitisha Mkutano wa dharura na tunawafukuzeni uanachama wote na hata ukijifanya kuuchuna usoni na kushangilia " kimoyo moyo " bado hizi Kamera zetu maalum zinauwezo wa kuusoma moyo na hisia za Mtu hivyo zitakurekodi tu utaicha Kadi ya uanachama wa Simba pale pale Taifa mpira ukimalizika.
Vaeni nguo za TP Mazembe na kama huna Jezi yao basi " tinga " tu Jezi ya " mnyama mnyamani " Simba Sports Club na uingie nayo kwani kuishangilia Yanga au kuipenda Yanga ni sawa sawa na kumpenda Shetani au kukumbatia bomu la kujitoa muhanga la ISIS au Boko Haram.
Matokeo ambayo mpaka dakika hii naandika huu UZI ninao ni TP Mazembe 5 na Yanga 1 ila kuna mchezaji mmoja wa Yanga kati ya Beki au Fowadi atapewa Kadi Nyekundu ila kuna uwezekano wa Mchezaji wa Timu moja wapo KUUMIA vibaya wakati wa mchezo lakini kama haitoshi kutakuwa pia na ngumi mbili tatu nne hivi zitapigwa hasa pale VIP B wanapokaa mashabiki wa Simba na Yanga ila Police wataingilia japo kuna Mashabiki kama wawili hivi wa Yanga watang'olewa meno ya sebuleni kwa aina ya Ngumi kali na nzito ambazo " watatandikwa " na Mashabiki wa Simba. ( Yote haya nimehakikishiwa na " Babu " / " Mtaalam " ).
Wewe huwezi kuwa mshabiki wa Simba, hakuna mshabiki wa Simba eti aishangilie Yanga kitokee nini, jipe moyo majibu uwanjani yaani yanga ipigwe bao Shabiki wa Simba akae kinyonge. Mashabiki wa Yanga vaaeni jezzi za Simba ili muonekane ni mashabiki wa Simba mnaishangilia yanga.simba wote tunaenda shangilia yanga kesho we endelea na upuuzi wako