Viongozi 18 wa CHADEMA walioshitakiwa kwa kesi ya Mauaji Tunduma waachiwa huru

Tumesema mara nyingi humu JF na kwingineko kuhusu unyama unaofanywa na serikali ya Tanzania kwa kulitumia Jeshi la Polisi kuwanyanyasa viongozi na wanachama wa Chadema , kwa kuwabambikia kesi za uongo ili kuiokoa ccm , lakini tukaishia kubezwa , kutukanwa na kusimangwa...
Shetani hajawahi kumshinda Mungu, Mungu siyo fala.

What a bold statement
 
HALI YA KISIASA MKOANI SONGWE 2021

06 October 2021


CHADEMA YAONJA MAUMIVU TENA RPC SONGWE RAIS MAMA SAMIA TUNAOMBA UTUONE #BAWACHA, Sare za BAWACHA zawakera viongozi wenye mamlaka ya kiserikali mkoani Songwe



Source : DSS TUNDUMA
 
Nimesoma twitter kwa M.M Martin, walikuwa 22 na 18 ndio wameachiwa na waliobaki ni 4.

Fuatilia tena kupata usahihi.
Jumla ya wanachama wa chadema waliorundikwa jela Tunduma walikuwa 57 , baadhi kiasi walitoka , wengi walibaki , leo wametoka 18 , taarifa zinaonyesha 22 bado , ila kwa heshima ya jukwaa ngoja nifuatilie vizuri
 
Siku_432_gerezani%2C_karibuni_tena_uraiani_Ayubu_Sikagonamo%2C_Ally_Mwafongo_na_wenzenu_16_kut...jpg
 
"Viongozi na wanachama wetu 18 waliokuwa wamefunguliwa kesi ya kubambikiwa namba 21/2020 katika Mahakama ya Wilaya ya Mbozi, Mkoani Songwe Leo tarehe 02/11/2021 wameachiwa huru baada ya Mwendesha Mashitaka wa Serikali (DPP) kuileza Mahakama hiyo kuwa Jamhuri haina nia ya kuendelea na Shauri hilo"

"Baada ya tamko hilo Mahakamani, Viongozi na Wanachama hao wameachiwa huru baada ya kufutiwa kesi ya mauaji ambayo ilikuwa ikiwakabili tangu walipokamatwa August,2020 na kukaa Gerezani mpaka waliopoachiwa huru leo" ——— CHADEMA.

Zama hizi hazihitaji uonevu, hata Mwamba kama hana kosa ataachiwa...Tuweke akiba ya maneno.

1635893318416.png
 
Ila naamini serikali ya magu ilikuwa ya kihuni tu Lisa uchaguzi unatisha ,unaua, unang'anya unateka unakimbia na masanduku ya kura na kunitangaza mshindi na misifa kibao unafunga watu eti wauaji. Nchi hii tulifika mahali pabaya sana mburula walolewa madaraka mlitufanya watumwa kwa nchi tuliyozaliwa kisa siasa naomba Mungu yasitokee tena haya.

Sent from my Mi MIX 2S using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom