TUPO WENGI MKUU AHAHAAMimi sitakaa kuja kupanda ndege kwa mwendo huo.
AHAHAA mwendokasi full kujiachia hata na kg 100 tunapanda tuWacha nikomae na hayahaya mabasi ya mwendokasi.
Mmmh. Kilo 79 ni uzito mkubwa. Hii nayo kaliMwanaume mmoja amelazimishwa kushuka kwenye ndege ya Shirika la American Airlines kwa sababu ya uzito uliopitiliza. mwanaume huyo anauzito paundi 175 ambzo ni sawa na kilo 79. Ni muhimu kuwa na uzito wa wastani.
source: Passenger removed from flight over weight limitation