Vikao vya bunge hatarini kufungwa kwa kukosekana pesa

Bunge ni chombo pekee ambacho wananchi tulitegemea ndiyo litajitoa kizungumzia kwa kupaza sauti juu ya matatizo ya maisha ya wananchi, hususani uchumi ulioanguka. Kwa kuwa wabunge ni wawakilishi wa wananchi, hivyo wanajua shida na kero zinazowakabiri. Lkn wapi wanazungumzia na kurumbana kwa maslahi binafsi na vyama vyao.
Nilimsikiliza Mh. Lema nikatoa machozi. Nani wa kujali?. Watasema mlizoea kupiga deal, njaa inawasumbua nk. Hatuoni mbele kama taifa lililoshikamana.
For every evil doing, there is a price to pay.
 
Tulia aliwahi kuchota pesa ya bunge na kumpelekea Pombe Ikulu
60bde964e2272356083935f8eda1cf7d.jpg
 
Hawa viongozi wa bunge wakiongozwa na Dr tulia naibu wa spika ni wapuuzi kupindukia walirejesha pesa za bunge kwa Sizonje kwa kutaka sifa za kilofa lofa halafu leo wanakuja kulialia nini? Poor Tulia, Kashilila, Ndugai co
 
Tunaambiwa kwa mbwembwe kuwa TRA inavuka lengo katika makusanyo lakini hali inazorota kuliko kawaida.
 
Wabunge wa CCM simamieni Serikali vizuri,Mnaona mnavyokosa pesa za vikao? Ipo siku mtakosa hadi mishahara,Unganeni Pamoja TRUMPRAPA Hana Nia Njema.
 
Walifunge haraka tena wiki ijayo lisiwepo ..hapo ntamuunga mkono magufuli wabunge wanatumia pesa nyingi na hawana mchango wowote...bora pesa za vikao ziokolewe zipelekwe kwenye shughuli za maendeleo
Ni raha sana kutawala watu kama wewe...
 
Wabunge wa CCM simamieni Serikali vizuri,Mnaona mnavyokosa pesa za vikao? Ipo siku mtakosa hadi mishahara,Unganeni Pamoja TRUMPRAPA Hana Nia Njema.
Anaweza kuwa na nia njema! Wapiga dili hutawamaliza kirahisi hivyo by Hon. J. Kikwete. Uliona ya bandarini majuzi!
 
Back
Top Bottom