Vijue vyeo, Majina na Alama za Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ)

MP maana yake ni Millitary Police(polisi jeshi)...Anafanya shughuli zake za kipolis jeshi within Millitary premises only (maeneo ya jeshi tu)

Makongo ipo Within Lugalo Millitary Base kwa hiyo wanafanya kazi zao eneo la jeshi....Eneo hilo huwezi kuta Polisi wa kawaida..
Nashukuru kwa majibu usichoke kujibu mkuu. Kuna usemi hunenwa huku uraiani kuwa MP ana mamlaka hata ya kumwadhibu Mwenye nyota, ni kweli?
 
Mkuu namba 1 usiseme asiye na cheo, hamna askari asiye na cheo, bali tungesema askari/mwanajeshi aliyeajiriwa cheo cha kwanza/cha chini kabisa ni Private. Pia namba 11 na 12 ungeanza na nyota badala ya ngao, maana tafsiri itakuwa tofauti. Pia hongera kwa kuweka vizuri hizo ranks kama ilivyo sasa maana wengi wanajua ranks za zamani. Pia kuwajibu wanaochanganya, JKT ni sehemu ya JWTZ na hata askari wanaweza toka upande mmoja na kuhamia upande mwingine.
asante mkuu
 
Nashukuru kwa majibu usichoke kujibu mkuu. Kuna usemi hunenwa huku uraiani kuwa MP ana mamlaka hata ya kumwadhibu Mwenye nyota, ni kweli?
Mtu hadhibiwi bila kosa...Lazima amefanya kosa ndio maana kaadhibiwa....Afisa wa Jeshi(mwenye nyota anapoingilia majukumu ya kipolisi ya MP kuna hatua zinachukuliwa dhidi yake hata kuwekwa mahabusu.....Lakini kuna sheria zinamuongoza...
 
kama ni siri wametoa wao sio sisi. askari anavaa sare kambini tu au na mtaani(uraiani)
kipi siri ndugu?
Huko kuelekeza maana wengi sana wameshikwa kwa kuchanganya vyeo vazi lingine anajitambulisha kwa cheo kingine au ndugu yangu uelekezi wako uoni unasaidia waarifu wanaotumia mavazi bila kutambua cheo cha vazi usika.
 
Kuanzia Namba moja mpaka kumi na mbili, hawa pale makao makuu lugalo upanga wanatumwa vocha njee na hao wenye kuanzia kumi na tatu mpaka kum na sita
1. Asiye na cheo-Private
2. V moja- Koplo usu
3. V mbili-Koplo
4. V tatu- Sajenti
5. V tatu na mwenge- sajinitaji
6. Mwenge(mkononi)-Afisa mteule daraja la pili, na ngao(mkononi)afisa mteule daraja la kwanza
7. Nyota moja-luteni usu
8. nyota mbili-luteni
9. nyota tatu-kapteni
10. ngao-meja
11. ngao & nyota moja-luteni kanali
12. ngao & nyota mbili-kanali

13. X & nyota moja na ngao-brigedia jenerali
14. X & nyota mbili na ngao-meja jenerali
15. X & nyota tatu na ngao-luteni jenerali
16. X & nyota nne na ngao-jenerali
 
Huko kuelekeza maana wengi sana wameshikwa kwa kuchanganya vyeo vazi lingine anajitambulisha kwa cheo kingine au ndugu yangu uelekezi wako uoni unasaidia waarifu wanaotumia mavazi bila kutambua cheo cha vazi usika.
1. Gazeti la JWTZ liitwalo NGOME linatoa data hizi na zaidi ya hizi. linauzwa kwa yeyote
2. kila mwaka Banda la maonyesho la JWTZ sabasaba hujibu maswali mbalimbali yakiwemo haya tunayojadili.
 
fb6ae06205ad5196b9123fea71660aad.jpg
8093d85a778587dd434d493f54aa8c68.jpg
c954c4ca96ca3e99ed3311dab606b6e7.jpg
0d44f555f966d512634563baf54086a1.jpg
 
Mtu hadhibiwi bila kosa...Lazima amefanya kosa ndio maana kaadhibiwa....Afisa wa Jeshi(mwenye nyota anapoingilia majukumu ya kipolisi ya MP kuna hatua zinachukuliwa dhidi yake hata kuwekwa mahabusu.....Lakini kuna sheria zinamuongoza...
Mkuu nilipokuwa jkt kulikuwa na luteni mmoja ambaye ni MP yaani chief Wa MP pale kikosini yeye alikuwa na kidude chekundu kimeandikwa "provost" sikuelewa maana yake unawwza kunisaidia tdadhali
 
Back
Top Bottom