Hemedy Jr Junior
JF-Expert Member
- Feb 17, 2023
- 915
- 1,082
Acha kuwa bendera fuata upepo. Lema anadai Bodaboda ni sio ajira/ nia laana yeye ameleta nini ili kiwe ajira kwako kijana?
Lema anajenga hoja ambazo hazina mashiko, unasema Bodaboda ni laana we unataka vijana wafanye nini au ndo wakusubiri uwe kiongozi mkuu wa nchi ndo kila kijana umpatie ajira?
Vijana wengi wakitanzania wengi ni mbumbumbu, wanachokidai hawakijui ila wakichochewa tu wanawaka.
Mabadiliko tunayohitaji ni YAPI? ukiulizwa ilo swali kijana unaweza kujibu nini?