Vijana wa kamati kuu CHADEMA komaeni, mabadiliko si lelemama

fasiliteta

JF-Expert Member
Jul 2, 2014
2,339
4,039
Baada ya kina boni yai,yericko, Ntobi kuleta ubwanyenye miaka nenda Rudi.

Nimefuraha tangu juzi Vijana wengi wa kamati kuu wameinuka na kupambana live, mpaka kina Boni Yai ambao wanahisi wao ndio ma-first born wameanza kurudi nyuma.

Komaeni makamanda, Muda ndo huu haiwezekan chairman anachukulia simple mambo Kwa story za mariziano kengeza
 
Kiukweli kama mbwai na iwe mbwai.

Rais wa Senegal ana miaka 32 na Sonko ana 39, walimuondoa rais madarakani, hapa Tanzania hata mwenyekiti wa chama inashindikana kumuondoa madarakani??
 
Baada ya kina boni yai,yericko, Ntobi kuleta ubwanyenye miaka nenda Rudi.

Nimefuraha tangu juzi Vijana wengi wa kamati kuu wameinuka na kupambana live, mpaka kina Boni Yai ambao wanahisi wao ndio ma-first born wameanza kurudi nyuma.

Komaeni makamanda, Muda ndo huu haiwezekan chairman anachukulia simple mambo Kwa story za mariziano kengeza
Hayamajamaaaa yamaligwaaaaa

HATA uyashaurije hayashtuki
 
Back
Top Bottom