The Stress Challengerr
JF-Expert Member
- Jan 18, 2020
- 3,424
- 9,311
Inakuwaje wanajamvi.
Vijana wa Dar acheni kulia lia njaa wakati wote wakati kuna bahari karibu yenu. Nendeni mkajishughulishe na shughuli za uvuvi kuliko kushinda vibarazani mkipiga umbea na porojo.
Kilimo tu mnakwepa halafu mnaendekeza anasa na kupenda kula kula na kufakamia msosi wakati mkoa jirani kuna ardhi kubwa ya kilimo.
Kilimo na uvuvi ndo vitu ambavyo kwetu sisi watu weusi unaweza kufanya hata bila elimu kutuletea vipato na kuboresha maisha yetu.
Tumebaki kuilaumu tu Serikali wakati tunashinda vijiweni kubadilishana utopolo na kujadiliana mada za kindezi na za kisoro na kupiga watu mizinga ya hatarii.
Tumieni fursa ya vyanzo vya maji na ardhi kuleta mapinduzi ya kiuchumi nchini. Porojo hazitatusaidia.