Vijana wa CHADEMA wamepoteza matumaini na chama chao na Viongozi wao

Naitwa Juliana Shonza, ni mtumishi wa Chama Cha Mapinduzi, nipo UVCCM idara ya Hamasa na Chipukizi, kama Katibu Msaidizi.

Nikushauri kitu dada yangu, haya mapungufu(kwa mtazamo wako) unayo yaongelea juu ya CDM ni vyema ukawaachi wale wa kitengo cha LB7. Hata mabosi wako wako walishatamka(akiwepo Wassira) hapa kuwa CDM inakufa lakini imekua kinyume chake.
Vingenevyo kama utaendelea na mtindo huu wa kuandika insha za kuipaka tope CDM utakua tu unaambulia matusi na mwisho wa siku utabaki kudharaulika. Na hii itakusababishia matatizo ya kimahusiano (kama umeolewa) sababu hapa kuna watu wanakujua in & out.
Pumzika uijenge mama uijenge CCM, ina mapungufu mengi mno ambayo yamekua sugu kwa miaka mingi.
Msalimie shemeji!
 
Mkuu unafanya makosa kumfananisha Rais Kikwete na Mzee Slaa.

Slaa ni katibu Mkuu wa CHADEMA , Labda ungemuweka na Kinana ambaye ni katibu Mkuu wa CCM.


Mkuu kuna kitu nadhani kinakupita kushoto kidogo... Tanzania hii kuna watu ambao Dr. Wilbrod Peter Slaa kwao ni Rais na kuna watu hao hao ambao Mh. Jakaya Mrisho Kikwete kwao ni Mwenyekiti wa CCM... Je unaamini katika hilo???
 
Mungu wa isaka na Yakobo mkuu

Huyo Mungu wa Isaka na Yakobo anatuagiza tuwaheshimu wazazi wetu na Dr. Slaa ni kama baba yako tu lakini wewe si kuwa humuheshimu tu bali unamdhalilisha bila sababu ya maana kabisa. Why do you have to take it personal???Hivi ulifukuzwa CHADEMA na Dr. Slaa au na chama??? Jaribu kujiheshimu na kuheshimu watu, huna sababu kabisa ya kumuandika Dr. Slaa kwa jinsi unavyomuandika wewe!Jichunguze or else haufanani kabisa na kumtaja huyo Mungu uliyemtaja.
 
HE should understand, it's dangerous to be an honesty man.

By Mario Puzzo, The Godfather.


Juliana Shonza, Honest does not mean matusi na kashfa dada yangu?? Au umesoma hiyo novel ya "The GodFather" kama kasuku bila kuielewa, you can be honesty bila matusi wala kashfa.
 
Wewe binti baada tu ya kununulika na kutumiwa na ccm wewe na wenzako dhamani yako ilikwisha long time binti.

Vijana wa CHADEMA waliopoteza matumaini ni Shonza, Mwampamba, Mchange na wasaliti wenzenu ambao mlidanganywa na Mwigulu sasa na yeye amepigwa burn tayari.
 
Sasa Juliana dada yangu, unataka CDM wahangaikie kutafuta jina la rais ajaye wakati jina wanalo siku nyingi? Huo muda wa kupoteza kuhangaika na nani awe rais kupitia ukawa wataupata wapi wakati watu huko majimboni hawana uelewa na uongozi wa nchi yao? CDM ina agenda ya kuelimisha watu na sio kuhangaika na urais. Wakimaliza kule chini, rais atapatikana tu automatically. Kama uchaguzi wa serikali za mitaa haujakufumbua macho kuwa upinzani wako mbele hatua mia moja, basi soma tu kimyakimya. Ukweli ndo huo. Isitoshe, tunataka wabunge wengi, ili maamuzi bungeni yasiwe ya ndio na hapana, watu lazima waumize vichwa. Bongo lala kama ndugu yako lusinde, komba na wengine jamii yao, wapate muda wa kuumiza vichwa vyao na sio mipasho bungeni.
 
juliana kwanza kabisa mwakata! samahani habari za siku nyingi! tumaini umzima na bila shaka unawasiliana na mwampamba. hivi karibuni nimetoka kijijini kwangu itepula nikapata bahati ya kupitia na kukaa mlowo, vwawa na tuduma , kabla ya kurudi mwanza watu wanauliza yafuatayo juu yenu!
1. ni lini mwampamba atarejesha fedha alizo changiwa wakati wa uchaguzi mkuu 2010 na wana mbozi mashariki ikiwemo mlowo atawarudishia.
2.kule mby inaonekana ulikuwa kinara wa kuwanadi madiwani wa cdm wakati wa uchaguzi mdogo hadi mkafanikiwa kupata diwani rungwe. wanataka kujuwa sababu zipi zilikufanya uhamie upande wa pili maana walizo andika kwenye magazeti hawajaridhika nazo.
3. wanasema wewe na kaka yako mwampamba mmehamia ccm, chama cha mapinduzi mbeya chini ya God! namanisha zambi maana itepula tunamwitaga hivyo kinapita kwenye bonde la mauti. kwanini mmeshindwa kimsaidia zambi kukiimarisha chama mbeya hadi ikafika wakati tumepoteza mamia ya wenyeviti wa vijiji na mitaa kiwango ambacho hakijawahi kutokea?
4. wanataka kujuwa ni kwanini hauvumi kama ulivyo kuwa cdm?.
5. wanataka kujuwa nini msimamo wako na mwampamba kuelekea uchaguzi ujao? mtagombea ubunge ama hapana na kama mtagombea kupitia chama gani?
dada yangu mwana witu nijibu kwanza hayo maswali kwa kuanzia then nitalizia matano yaliyo baki ikiwezekana mshirikishe kaka yako mwampamba. nawasilisha hoja
 
Kawaida kwa yeyote anaependa vitu vitamu kama big G hutafunwa utamu ukiisha unatema ILA kwa wanaume wanaopenda kuonja hutumia kondom kwa mwanamke asiye mwamini na ile kondom hairudii tena
shonza bado hujajitambua nachelea kukufananisha na mifano yangu hapo juu.ccm ndivyo wamekufanya
 
Huna ladha wala mashiko kama nikipanda ndege au basi tax AMA tren nikakukuta nitakukumbusha neno moja ulilolisema dodoma kwny mkutano WA ccm
jiulize kwenye thread yako wwe ndo unajinizana hushangai hakuna hata lumumba mwenzio aliyelogwa kama wewe anakusaidia Kati ya 50 atahitokeza ulie pm kukusaidia shame shonza
 
Juliana Shonza, Honest does not mean matusi na kashfa dada yangu?? Au umesoma hiyo novel ya "The GodFather" kama kasuku bila kuielewa, you can be honesty bila matusi wala kashfa.

Kuna wakati Ukweli unakuwa na majina hayo uliyoyataja, ukweli huitwa Matusi, ukweli pia huitwa kashfa mara nyingine...lakini mwisho wa siku utajulikana wazi kuwa huo ni ukweli.
 
Huna ladha wala mashiko kama nikipanda ndege au basi tax AMA tren nikakukuta nitakukumbusha neno moja ulilolisema dodoma kwny mkutano WA ccm
jiulize kwenye thread yako wwe ndo unajinizana hushangai hakuna hata lumumba mwenzio aliyelogwa kama wewe anakusaidia Kati ya 50 atahitokeza ulie pm kukusaidia shame shonza

Jifunze kwanza kuandika.,ukiweza unda hoja..,ukiweza njoo nazo hapa uchangie.
 
nakuhurumia sana juliana shonza ukawa wametulia wanawachungulia kwa mbali sana wanawacheka mnavyoangaika wanajua hakuna wakushindana na dr slaa pangeni safu yenu ya mafisadi ukawa itaweka jembe halafu utaona coverage dr sasa yuko kimya sana hana mapepe anaandaa namna yakuweka makombora yake vizuri siku mkiamka na mgombea wenu mnaemuona ni kinara wenu watu wanatoa uchafu wake hakuna aliye msafi kwenye timu yenu ya mapanya
 
Umeshachina ndugu....Huuziki hata kwa mateja...Nani wa kula ugonjwa.....

Tunakupa adhabu ya kukupuuza....
Naomba mnikumbushe: ile taarifa ya kuvuana magamba iliishaje, wangapi walivuliwa magamba, ile taarifa ya makamu mwenykiti kwamba viongozi wa chama wote walioshinda uchjaguzi kwa kutumia rushwa wangechukuliwa hatua kali ndani ya miezi sita iliishia wapi, wangapi walichukuliwa hatua kali, ile ahadi ya mwana CCM kwamba rushwa ni adui wa haki sitatoa wala kupotea rushwa bado ipo au Mwl aliondoka nayo. UKAWA hao waja wanafukuza mwizi kimya kimya kama ilivyokuwa uchaguzi serikali za mitaa ndivyo itakavyokuwa uchaguzi mkuu ujao. Nani aliamini wakati ule kwamba Kikwete angepata kura milioni tano na Slaa milioni mbili na nusu, ukichanganya na zile alizopata Lipumba unapata zaidi ya milioni tatu, si haba, UKAWA hao waja.
 
Ktk watu ninao wadharau kbs ni huyu dada, siko hapa kwa kukutukana bal niko kwa kujibu pumba zako,
Umesubiri ule ufisad wa Escrow umepoa ndo unakuja na pumba zako hapa, haya nenda kapokee buku 7 yako ila nasikia mmeongezewa now imekuwa buku 10
 
Hii ni HALI HALISI.,na hizi ndizo salamu zangu kwenu kwa mwaka


Wafikishie walokutuma kuwa tunashida ya maji miaka 54 ya uhuru.

Thamani ya shilingi imezidi kuporomoka sasa US $1=1850 Tshs.

Rushwa imeendelea kuongoza dhidi ya uadilifu.

Hospital hazina vifaa muhimu wala madawa muhimu

Deni la taifa limefika Trilion 28 wakati huo huo barabara zinazojengwa zikibomoka utadhani biscuits. ..

Elimu imezidi kuporomoka kwa speed ya ajabu

Kila kitu kimekuwa ni siasa hadi sasa makanisa yamekuwa majukwaa ya kisiasa....
Usiache kuwaambia
 
Back
Top Bottom