Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,245
- 7,555
Hili jina linatrend sana hapa jijini ni nilikuja jambo hili kugundua jambo hili ni kubwa baada ya kuona makamu wa rais naye kuwaonya wasipende mashangazi kwanini vijana wanapenda watu wazima wamama hawa asilimia kubwa wanakuwa wabovu + je vijana hawalijui jambo hili hata mabinti nao kwa sasa wameamua kuamia kwa dada akishaona Mzee anahitaji huduma Fulani basi atatengeneza mazingira yoyote Yale ili amnase huyo Mzee hali sio nzuri sijui mwisho wa jambo hili