Vijana mnaotaka kuingia kwenye ndoa kuweni makini sana

welding1682

JF-Expert Member
Aug 20, 2019
2,070
4,532
Nawahusia vijana kwa sasa kuna changamoto nyingi sana katika ndoa na ukweli ndoa nyingi zinavunjika kwa sababu ya wanawake kujaa viburi na kutokuwaeshimu wanaume wao.

KIJANA KAA MBALI NA BINTI ALIYE LELEWA BILA BABA na usipumbazwe na ulokole feki utakaokuwa kwa Mama yake kwa maana single mother wengi ni Malaya mbwa wanaojificha katika makanisa.

Narudia tena usithubutu kuoa binti aliyelelewa na single mother Ni swala la muda tu utajuta na wengi wao ni walevi na usikute hata wamesha Shea mwanaume na Mama zao!
 
Nawahusia vijana kwa sasa kuna changamoto nyingi sana katika ndoa na ukweli ndoa nyingi zinavunjika kwa sababu ya wanawake kujaa viburi na kutokuwaeshimu wanaume wao,

Mkuu umeamka na hasira sana! Pole ndugu.
 
Dah! Hasira za nini hizi kunywa maji utulie kidogo😃😃😃😃
 
Kijana..... unapo kutana na binti kabla ya kumchumbia, Jipe muda ili umfaham kitabia. Wafaham ndugu zake, familia yake na aina ya maisha alio kulia.
Jipe muda ujue alilelewa na nani/alipata malezi gani na inner circle yake kwa ujumla.
Sababu wahanga wakubwa na wabeba maono katika familia ni kijana wa kiume.
 
Huu ushauri wako naenda kuprint nitembee nao kama rejea
 
crop_1715440528657.jpg
 
Nawahusia vijana kwa sasa kuna changamoto nyingi sana katika ndoa na ukweli ndoa nyingi zinavunjika kwa sababu ya wanawake kujaa viburi na kutokuwaeshimu wanaume wao,
KIJANA KAA MBALI NA BINTI ALIYE LELEWA BILA BABA na usipumbazwe na ulokole feki utakaokuwa kwa Mama yake kwa maana single mother wengi ni Malaya mbwa wanaojificha katika makanisa.
Narudia tena usithubutu kuoa binti aliyelelewa na single mother Ni swala la muda tu utajuta na wengi wao ni walevi na usikute hata wamesha Shea mwanaume na Mama zao!
Kwa sauti ya yule yesu wa kwenye movie

"je na nyinyi wanaume mliolelewa bila baba mfanywe nini??"
 
Kijana..... unapo kutana na binti kabla ya kumchumbia, Jipe muda ili umfaham kitabia. Wafaham ndugu zake, familia yake na aina ya maisha alio kulia.
Jipe muda ujue alilelewa na nani/alipata malezi gani na inner circle yake kwa ujumla.
Sababu wahanga wakubwa na wabeba maono katika familia ni kijana wa kiume.
Kabisa mkuu yaan mabinti wengi waliolewa na single mother hawana maadili hata kidogo ni wazee wa kupritend wapate wanachotaka baada ya muda yanayofata ni maumivu!
Ukilirud kwa vijana waliolelewa na single mother nao ni wa hovyo na hawapendi kazi kwa kuwa wamezoeshwa kupewa hela za kudanga na Mama zao.
 
Kijana aliye zoeshwa kupewa hela mpaka Mama yake akadange hawezi kuwa na akili ya kufanya kazi hata Kama kasoma ndiyo hao wanaolelewa hovyo mjini na mashangazi!
Mizani ibalance sasa......kama haujalelewa na baba kafie mbele au sio?

Na zama hizi wanopata bahati ya kulelewa na baba wanahesabika, ka vipi wauwawe.
 
Nawahusia vijana kwa sasa kuna changamoto nyingi sana katika ndoa na ukweli ndoa nyingi zinavunjika kwa sababu ya wanawake kujaa viburi na kutokuwaeshimu wanaume wao,
KIJANA KAA MBALI NA BINTI ALIYE LELEWA BILA BABA na usipumbazwe na ulokole feki utakaokuwa kwa Mama yake kwa maana single mother wengi ni Malaya mbwa wanaojificha katika makanisa.
Narudia tena usithubutu kuoa binti aliyelelewa na single mother Ni swala la muda tu utajuta na wengi wao ni walevi na usikute hata wamesha Shea mwanaume na Mama zao!
Hii story nimeshudia live huko Mbezi beach . Mtoto katembea na mume wa mama yake Mdogo
 
Back
Top Bottom