Vijana jishughulisheni, maandamano hayana tija!!

Wajishughulishe Na nini? No ajira, No mitaji ujasiriamali unataka wafanye nini
Wakalime shambani. Nchi hii ina ardhi tele. Unaweza kulima, kufuga au kufanya kazi yoyote halali. Badala ya kuandamana waende wakafanye shughuli hizo!
 
Ni ujinga kwa kijana anayejitambua kupoteza muda kwenda kuandamana kwa kisingizio cha 'demokrasia' au kupigania watu fulani wapewe madaraka! Hamna kazi za kufanya hata mpoteze muda huo bure??

Ajabu hao wanaohamasisha kuandamana wanakuwa nyumbani na shughuli zao na Polisi wakitumia nguvu wanaothirika ni vijana ambao walipaswa kuwa shambani au kwenye biashara zao.

Vijana jitambueni na muache kushabikia mambo yasiyo na tija!!
Kaa ujiulize ulikosea wapi,elimu yako mbona haikusaidii,rudi shule ni aibu kuandika utumbo kama huu
 
TUNAWAZUIA CHADEMA KUFANYA HICHO WANACHOITA MIKUTANO YAO TUNATAKA WATU WACHAPE KAZI. HUU SIO MUDA WA KUPIGA POROJO.
Unaijua katiba? Au unacoment baila kuwa na uelewa wa katiba? Ni ibara IPI iliyoweka muda maalumu kwa wanasaisa kufanya sasa.
 
Ni ujinga kwa kijana anayejitambua kupoteza muda kwenda kuandamana kwa kisingizio cha 'demokrasia' au kupigania watu fulani wapewe madaraka! Hamna kazi za kufanya hata mpoteze muda huo bure??

Ajabu hao wanaohamasisha kuandamana wanakuwa nyumbani na shughuli zao na Polisi wakitumia nguvu wanaothirika ni vijana ambao walipaswa kuwa shambani au kwenye biashara zao.

Vijana jitambueni na muache kushabikia mambo yasiyo na tija!!

We ndo unatakiwa kwenda kufanya kazi badala ya kuwaletea great thinkers utumbo huu
 
Back
Top Bottom