Vijana hawatongozi na hawataki kuoa kwa sababu hii

Aliyesoma anisimulie jamani😂😜
 
Umezingua Leo dada faiza.
 
Ndoa ni nyingi ila zinavunjika kwa kasi ya roketi.
 
Ila kutongoza kwa Hali ya sasa ni upungufu wa exposure Tu ya mwanaume

Imagine , umepanga nyumba inavyumba totally 6 mwanaume wa 25-35 uko peke yako na vyumba vilivyobakia vyote vina mchanganyiko wa wwanawake 25-35
Sasa hapo unatongoza kweli?

Ni kuangalia greenlight wapi inawaka?

Haha fuata nyota ya kijani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…