Vijana CCM wawajia juu waliotafsiri mabango ya “siasa za uchotara”

Ndo maana hii nchi hatuendelei. Sasa ndo nn hiki wameandika. Na hao ndo ma think tank wa jumuia
Hata mimi sijamwelewa alichoandika. Eti picha zimeunganishwa na wapinzani??!! Kwa hiyo wale watu waliokuwa wamebeba mabango sio watu halisi??!!
12548967_570760529741082_3483737459059636737_n.jpg

12540735_570761786407623_2270914533899956840_n.jpg


5231_570112036472598_2126012490736499422_n.jpg
 
Hilo walilosema umoja wa vijana wa CCM inaweza kuwa kweli kabisa ya kuwa lile bango limekuwa doctored. Kwani vijana wa CUF wamshafanya hivyo, Kwa mfano walilibadilisha digitally tangazo moja la kisonge na kulifanya lisomeke ya kuwa CCM haina uchungu na UISLAM.lakini lile lilibacktrac kwani watu wengi walilijua.Sasa wamekuja na Gia mpya ukiangalia lile tangazo vizuri zimeibuka picha mbili tofauti ya tangazo lile ambalo limebebwa na same people. Lengo lilikuwa ni kutaka kusababisha chuki katika kizazi cha wazanzibari. Na jaribuni kuingia kwenye mtandao wao wa mzalendo.net hivi sasa kuna mazungumzo ya kupigana JIHADI. Inaonyesha CCM makao makuu wametoa uamuzi wa kuomba samahani bila ya kuwasiliana na CCM Zanzibar. lakini mimi ninachokijua hawa mafia wa CUF ni wa kupigwa vita kama ukoma.Na mmoaja wao alituma thread hapa kuhusu suala hili na huyo mtu ana chuki ya rohoni kwa watu wa Unguja
Wacha upuuzi yale mabango na picha zimechukuliwa na wapiga picha wengi walokuwepo kwenye shughuli ile.
Picha zile zimepigwa pia na Othman Mapara mmoja ya wenye blogu pro CCM.
Ubaguzi wenu umeonekana wazi na dunia
 
h
Hata mimi sijamwelewa alichoandika. Eti picha zimeunganishwa na wapinzani??!! Kwa hiyo wale watu waliokuwa wamebeba mabango sio watu halisi??!!
12548967_570760529741082_3483737459059636737_n.jpg

12540735_570761786407623_2270914533899956840_n.jpg


5231_570112036472598_2126012490736499422_n.jpg
hawa bila shaka watakuwa misukule sio watu....akili za Jecha hizi!
 
Back
Top Bottom