Bubu Msemaovyo
JF-Expert Member
- May 9, 2007
- 4,066
- 3,338
Yaani Mama Amina anasema alipokuwa na mimba ya Amina alikuwa akiumwa sana na kutapika damu. Madaktari walimshauri aitoe hiyo mimba, lakini kwa uwezo wa Mungu wakati wanafikiria kuitoa, mambo yakabadilika ghafla, mama mjamzito akapata nafuu. Na pia walijua atapata complications wakati wa kujifungua, lakini hakupata shida yeyote akajifungua salama na hata madaktari wakashangaa. Hivyo marehemu Amina alikuwa exceptional blessing kwa Mama yake, ingawa hii kila mzazi anaona mtoto ni blessing.
Nashukuru sana kwa kunijibu haraka sana ilivyowezekana. Ila huyu Mzee anataka kufufua masuala ya Amina kwa staili ya aina yake. Hapo watu wa magazeti wana update za nguvu yatauzika sana.