Vigezo vya kujiunga elimu ya juu (degree)

Kiputio Og

Member
Jan 10, 2018
6
6
Habari wana JF,

Nauliza hivi kwa mtu ambae amehitimu chuo ngazi ya kati "ordinary diploma NTA 6"
na kufaulu kwa GPA 4.5. ila katika cheti cha form four ana ufaulu wa D3. Pia ni muajiriwa wa serikali.

SWALI:
JE, ATAWEZA KUJIUNGA NA ELIMU YA JUU BACHELOR DEGREE AU HADI ASAFISHE CHETI CHA KIDATO CHA NNE?
 
Habari wana JF.
Nauliza hivi kwa mtu ambae amehitimu chuo ngazi ya kati "ordinary diploma NTA 6"
na kufaulu kwa GPA 4.5. ila katika cheti cha form four ana ufaulu wa D3. Pia ni muajiriwa wa serikali.
SWALI? JE ATAWEZA KUJIUNGA NA ELIMU YA JUU BACHELOR DEGREE AU HADI ASAFISHE CHETI CHA KIDATO CHA NNE.?
Ordinary diploma in what? Kuandika na kutoa report tu huwezi degree ya nini?

Kwa taarifa yako mimimum ni lazima uwe na D4 kwenye cheti cha form four, nashangaa
hata hiyo diploma ulisomaje bila kuwa na kigezo cha D4
 
Inategemea na program na chuo unachotaka, kuna program au vyuo vngne vitataka either C ktk somo flani la form four au C tatu za form four kwa UDSM
 
Inategemea na program na chuo unachotaka, kuna program au vyuo vngne vitataka either C ktk somo flani la form four au C tatu za form four kwa UDSM
Lakini ni lazima uwe na minimum of four D or above in form four exams.

Ukiwa na three C na bila D yoyote bado huja kidhi vigezo.
 
Habari wana JF,

Nauliza hivi kwa mtu ambae amehitimu chuo ngazi ya kati "ordinary diploma NTA 6"
na kufaulu kwa GPA 4.5. ila katika cheti cha form four ana ufaulu wa D3. Pia ni muajiriwa wa serikali.

SWALI:
JE, ATAWEZA KUJIUNGA NA ELIMU YA JUU BACHELOR DEGREE AU HADI ASAFISHE CHETI CHA KIDATO CHA NNE?
Maisha ya chuo/college yanahitaji kujipanga ili kukabiliana na changamoto, kama wahenga wanavyosema changamoto ni kipimo cha akili. Miongoni mwa changamoto hizo ni chakula na malazi/makazi/accomodation (Sio maradhi wapendwa😊).

Kwenye issue ya chakula mambo yakiwa magumu mkombozi ni mihogo, nakiheshimu sana hiki chakula.😅

Kwenye issue ya malazi/accomodation/makazi hiki ndo kipengele maridhawa..!😁

Yakupasa upate chumba cha kuishi ambacho kimetulia na hakina mambo mengi na kipo mazingira ambayo hayata disturb mambo yako ya msingi.

Kwa wanachuo wanaopenda kuishi kigamboni karibu na Ferry/Kivukoni Nicheki Whatsapp ili upate Room ya ndoto yako.

Asante.
WhatsApp:+255620523897.
#Chumba #Vyumba #Kigamboni #Ferry #Kivukoni #Pantoni #Chuo #Vyuo #College #Universitylife #Collegelife
 
Back
Top Bottom