Nashauri hii mikopo ya elimu ya juu ifutwe, mbona wanachuo wenzao wa diploma wanasoma bila mkopo na hatusikii kelele zozote?
Tofauti yao na wenzao wa diploma ipo wapi?
Nimeona Serikali inataka kuwapa mikopo na hawa diploma, hili nalo litakuwa kosa kubwa sana, yaani kujibebesha mzigo juu ya mzigo, cha muhimu hapo Serikali wapige kimya tu na huko kwa ngazi ya degree wawafutie kabisa kama ikibidi labda wawape ada tu, pesa ya kula wajitegemee.