SoC04 Vigezo na Masharti ya kushiriki katika Shindano la Stories of Change - 2024

Tanzania Tuitakayo competition threads

JamiiForums

JF Official Account
Nov 9, 2006
6,202
5,029
  • Mshiriki lazima awe mwanachama wa JamiiForums, ambapo anaweza kujisajili kwa kiunganishi hiki; Register
  • Mshiriki anaweza kutumia jina halisi au la kubuni ‘pseudonym’.
  • Mshiriki atatakiwa kutaja jina halisi endapo ataibuka MSHINDI.
  • Mshiriki anatakiwa kutayarisha andiko linaloelezea TANZANIA TUITAKAYO lenye maono ya kibunifu ambayo yanaweza kutekelezeka ndani ya miaka 5, 10, 15 hadi 25 ijayo katika nyanja mbali mbali mfano; elimu, afya, teknolojia, uchumi, mazingira, miundombinu n.k
  • Andiko liwe kwa lugha ya Kiswahili au Kiingereza lenye maneno kuanzia 700 hadi 1,000.
  • Machapisho yanatakiwa kuwa halisi na hayajawahi kuchapishwa sehemu nyingine yoyote. Ubwakuzi (Plagiarism) hautaruhusiwa.
  • Hakikisha unachapisha andiko lako kwenye Jukwaa la Stories of Change, ukichapisha katika majukwaa mengine halitazingatiwa.
  • Usiweke andiko kama attachment (Word/pdf).
  • Matumizi ya picha, video na vielelezo vingine yanaruhusiwa ili kuongeza uzito wa wasilisho. Ikiwa picha/video zilizotumika si za mshiriki, atatakiwa kutaja chanzo.
  • Unaweza kuchapisha andiko zaidi ya moja.
  • Andiko lisiwe na sehemu ya mwendelezo, mathalani, Sehemu ya I, Sehemu ya II na kuendelea

Uzinduzi wa shindano soma Shindano la Stories of Change 2024, Zaidi ya Tsh. Milioni 50 Kushindaniwa

photo_2024-04-19_16-31-24 (2).jpg

==========

Ground rules for the Competition

  1. Participant must be a member of JamiiForums, if you are not a member you can register using this link: Register.
  2. Participant can use their real name or a pseudonym.
  3. If the participant emerges as the WINNER, they will be required to provide their real name.
  4. Participant is required to prepare a story outlining their vision for the future of Tanzania "TANZANIA TUITAKAYO", with creative ideas that can be implemented within the next 5, 10, 15, or 25 years in various sectors such as education, health, technology, economy, environment, infrastructure, etc.
  5. The story should be written in either Kiswahili or English and should have a word count of 700 to 1,000 words.
  6. Submissions must be original and not published anywhere else. Plagiarism is strictly prohibited.
  7. Make sure to post your story on the Stories of Change platform; submissions on other platforms will not be considered.
  8. Do not attach your story as a Word/PDF document.
  9. The use of images, videos, and other visuals is allowed to enhance the presentation. If using images/videos that are not your own, please provide proper attribution to acknowledge the source of it's origin.
  10. You can publish more than one stories as long as there are original
  11. The story should not have any sections labeled as continuations, for example, Part I, Part II, and so on.
 
Unabwakua mawazo ya mwenzako na kujifanya ni yako.

Kiuandishi kama unatumia andiko la mwingine ni LAZIMA uoneshe kuwa umetumia andiko la mtu mwingine kwenye andiko lako. Bila ya kuonesha kama umetumia andiko la mtu mwingine kwenye andiko lako, utakuwa umefanya UBWAKUZI.
Asante mpwa, nimekaa nikitafakari hili neno.
Lugha ya kiswahili ni pana sana...
 
Back
Top Bottom