Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Hodi wakuu, nimekuwa nikiwaza chaguo lipi ni sahihi kwa sisi wapenda burudani ya soka. Nikilipia kifurushi cha compact dstv(64k) napata mechi za epl zote ila za uefa ni baadhi, naona hapa watu wengi wakizungumzia uwepo wa option ya kulipia internet 70k kwa mwezi ambayo naona haitofautiani sana na ile bei ya compact

Sasa swali langu liko hapa, kuna uwezekano wa kupata burudani ya soka bila changamoto yoyote endapo nitakuwa na reliable internet? Kwa maana kuna sites za uhakika au labda app au chochote tu kile ambacho kitafanikisha kutazama kabumbu bila kikwazo? Kwa wajuvi naomba muongozo tafadhali
Kulipia unlimited kuna faida kuliko dstv. Kwa sababu kuna access nyingi za kustream online kwa sasa, kuna apps kibao na ni HD.

Pia kwa sababu router nyingi ni portable na zina powerbank, unakuwa huna haja ya kuwa nyumbani ili utazame mpira au movies, muda wowote mahali popote unatazama mpira au movies kwenye simu yako, na hata ukirudi home una option ya kuendelea na tv yako.
 
Kula hii HD Streamz APK Download Latest Version 2024 For Android download and install kwenye android box au android tv ulete feedback
Asante sana mkuu, hii unyama sana. Hapa nina Cricfy tv, Yaccine tv na hii yako. Jumla 3, akizingua mmoja naruka na mwingine.

"Sicheki na Wowoteeee🎶🎵🎶".

Screenshot_2024-12-11-18-05-19-206_insure.cable.estate-edit.jpg
 
Mimi Zuku 40mbps kitu 1ms ping na Azam inazingua, tatizo la Azam sometime wanapenda kutoa vitu Quality sana matokeo yake server zinazidiwa, wangewaekea tu watu wa Simu default 240p kama Startimes na HD ikawa Optional.
Na ukumbuke Azam Max desktop version haina option ya kuchagua quality.

Bora kwenye simu unaweza ku set 360.

Mi ndio maana naweza nikawa na laptop yangu hapo lakini nikatumia simu ku stream mpira kwasababu ya hiyo changamoto.
 
Mi natumia waydroid mkuu, ngumu kuseti ila Ukimaliza ni native kama simu tu. Inahitaji u dual boot Linux Distro yoyote.
 
Mkuu sijajua umeongea kwa mcharazo au ni lugha ya kiufundi ambayo mimi sijaielewa.

Waydroid ni kitu gani?
Ni Layer ya Android kwenye Linux, kama windows wanavyotumia Blue stack kuweka apps za android, waydroid inatumika kwenye Linux, utofauti waydroid yenyewe inakuwa native sio emulation hivyo inakuwa nyepesi kama unatumia simu vile.
 
Sasa nimekupata... Nilishindwa kukuelewa mwanzo kwasababu mimi sio mtumiaji wa Linux

Bluestack kwenye windows nayo inataka uwe na graphics nzito nzito halafu inachukua RAM nyingi.

Kuna emulator ilikuwa inaitwa "Yowave for android" niliwahi kuitumia zamani hii ilikuwa inapasua hata kwenye PC yenye graphics ndogo bila ku stuck.

Saizi kila nikijaribu kui install inakakubali lakini haichezi. Sijajua kama developers waliamua kuibwaga au niaje.
 
Hio haina support, kuna official android emulator ya Google, kuna step za kufuata cheki youtube ila angalau nyepesi kiasi chake.

Ukitumia waydroid hurudi tena kwenye hizo Emulators, dual boot Linux.
 
Hio haina support, kuna official android emulator ya Google, kuna step za kufuata cheki youtube ila angalau nyepesi kiasi chake.

Ukitumia waydroid hurudi tena kwenye hizo Emulators, dual boot Linux.
Lakini hiyo waydroid si mpaka uwe una run Opetating system ya Linux??
 
Tafuta dikoda pori ule dstv package ya juu kwa bei ya mteremko. tafuta jamaa wa mbeya zinaingia sana kutokea Zambia au hapo kariakoo kwa maduka ya wahindi
Hapo kwenye poripori vipi unatakiwa ujichange kila mwezi au ni lifetime?
Pili unauziwa na dish lake au unaweza tembelea nyota ya vifaa vya kabulu
 
Lakini hiyo waydroid si mpaka uwe una run Opetating system ya Linux??
Ndio box, kuna Linux ni user friendly kama Bazzite, Linux mint, Fedora etc. Hio bazzite download file ni kubwa ila ukisha weka hugusi code kila kitu kimo humo humo.
 
Back
Top Bottom