Vifaa vya kilimo na usindikaji wa vyakula (Maziwa) toka Uholanzi/Holland

Uzii huu ni mzuri sana lakini biashara inahitaji mipango dhabiti na umakini wa hali ya juu hasa unapotaka kuingia kwenye soko ambalo tayari kuna walio jikita muda mrefu na wana mitaji mikubwa !!

Nikweli mkuu, and that applies to all businesses and it should be considered more sensitive as the level of investment becomes high.

lakini pia tusisahau pia wapo ambao hawajui wapi pakuwekeza, hawa ni muhimu kwao kuona mambo kama haya ili waweze kuziona fursa mpaya na kuanza kuzifanyia utafiti kwa wenye uelewa katika tasnia husika. kwa upande mwingine wapo ambao walishaanza kufanya utafiti katika kutaka kuingia kwenye fursa hizi lakini hawajaweza kujua wapi pakupata mashine/mitambo husika, hawa nao hii ni nafasi kwao.
 
Back
Top Bottom