Vidonda vya tumbo vinaua tuweni makini2

DR SANTOS

JF-Expert Member
Mar 11, 2019
10,655
21,766
Habari za wakati huu, niende moja kwa moja kwenye uzi.

Kiukweli magonjwa ni mengi sana ya kuambukizwa na haya yasiyo ya kuambukizwa.

Lengo la kuleta uzi huu ni baada ya kushuhudia mtu akikata roho wakati akijiandaa kufanyiwa intestine transplant, kutokana na perforation of small intestine.

Ilikua hivi, jamaa tulimpokea saa kumi na mbili jioni siku ya ijumaa alikua akilalamika maumivu ya tumbo upande wa kushoto (left lower quadrant).

Aliwekwa kwenye ward ya watu wasio na magonjwa ya kuambukizwa.

Historia yake ni kwamba alikua na vidonda vya tumbo kwa muda mrefu.

Alipigwa x ray na mtu wa radiology aka comment kwamba ni perforation of peptic ulcers.

Lakini ajabu mgonjwa aliweza kukalishwa mpaka jumatatu hali yake ilikua mbaya sana imagine mtu hajala toka ijumaa hadi jumatatu.

Kumbe alikua na matatizo kibao ikiwemo intestinal obstruction kupelekea mtu kushindwa kula kutokana na maumivu makali akaandikiwa rufaa lakini unfortunately alikufa akiwa kwenye maandalizi ya kwenda chumba cha upasuaji.

Wakati mwingine tutawalaumu watu wa afya lakini ni muhimu kuishi life style nzuri ili kuepukana na magonjwa kama haya yasiyoya kuambukizwa.

kinga ni bora kuliko tiba pia usipoziba ufa utajenga ukuta.
Nawasilisha
 
Kweli kabisa..kinga ni bora kuliko tiba..na tuchukur tahadhari sana..lakini hakuna aliyekuja kulinda dunia hapa tunapita tu...kifo kiko pale pale hata usipo toka nje.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom